Tetesi: Kimeumana: CAF kufanya uchunguzi dhidi ya Simba SC na baadhi ya viongozi wake

Watashangazwa na CAF

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Lazima tu wapagawe maana hawajazoea

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Kwa taarifa za awali ni kuwa Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) lipo kufanya uchunguzi juu ya matukio mbalimbali kabla ya fainali mkondo wa kwanza na baada ya fainali ya mkondo wa pili ambapo kuna uwezekano mkubwa Simba ikakumbwa na rungu la Shirikisho hilo kutokana na mienendo ya Mashabiki wake lakini pia baadhi ya Viongozi Waandamizi wakumbana na adhabu kali, inatajwa hivyo kufuatia mtiririko wa matukio mbalimbali katika fainali hiyo.

Taarifa za awali zinadai pia kuna matamko na press mbalimbali za kulishutumu CAF kuhusiana na mabadiliko ya uwanja, hivyo wameanza rasmi kukusanya taarifa hizo ili kufanya maamuzi yake ikitajwa ni kuishutumu CAF na kutoa kauli za kichochezi dhidi ya Shirikisho hilo.
 
Wajinga wamezoea akina Kayombo ambao wakicheza wanawasaidia mpaka kuingiza mpira golini ili washinde, sasa wakikutana na waamuzi wa CAF wanaona kuwa wanaonewa
 
Mimi namuelewa sana huyu jamaa. Hata jana ile offside niliona mapema kabla ya VAR.
 
Moja kati ya malalamiko ni ya Uwanja, lkn ukweli usemwe CUF haikupendezwa na mchezo Ule wa Al masr walivocheza pale mbugani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…