Tetesi: Kimeumana: CAF kufanya uchunguzi dhidi ya Simba SC na baadhi ya viongozi wake

Toa mwiko huko nyuma kwanza halafu uje utuletee habari.
 
Wawaswalike maswali viongozi wa Simba kwamba, "tumewapa taarifa ya kucheza Amani mapema, kwa nini mliendelea kukatisha tiketi kuwa mechi itachezwa Dar kama siyo utapeli ni nini na kuwachonganisha CAF na mashabiko kwa uzembe wenu wa kutokarabati uwanja wa Mkapa?" Hapa natamani nisikie majibu ya viongozi wa Simba.

Hapo ikiwezekana CAF watoe maelekezo kwa Simba warudishe viingilio.

Haingii akilini CAF wanatoa taarifa rasmi mechi itachezwa Aman Stadium, halafu viongozi wa Simba wanakanusha na kuendelea kukatisha tiketi kwa ajili ya kucheza Dar huku wakijua mechi itachezwa Aman kama siyo utapeli wa wazi nini?
 
Lazima watapoteana [emoji23]

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Wazazi wako wangevaa kondom huu upuuzi usingekuwepo duniani
 
Naendelea kusisitiza TFF ni kikundi cha wahuni waliojificha kwenye uongozi wa soka!
Your browser is not able to display this video.
 
بيع والشرا على عينك يا بن عدي باع الوداد فرادس بمنصب فالكاف وباع بونو وحكيمي وليس ببعيد باع المنتخب اقل من عشرين لموسيماني باش معشوقته الليمونة تاخد الكنفدرالية لي عمرها ما حلمت تفوز بيها وهي خارج المغرب واكبر دليل اليوم كنشوفوه حاضر فزنبجار البعيدة والغائب عن تونس القريبة فهل كاس الكونفدرالية اغلى من كاس العصبة أ التريتور
 
تحيا الملييك محمد الساديييس
 
ندعو جلالة الملك نصره الله لزيارة المنطقة و إعادة النظر في تطوير اقتصاد المنطقة المهمشة و المنبوذة من طرف ناس الداخل
 
النهضة و القجع بوحدهم لي كاتفرحو الملك ديالنا فهاذ البلاد الكحلة🦾🦾🇲🇦🧡🧡🧡🧡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…