Tanzania haina serikali, Ina kundi la wahuni tu. Hivyo kuwashinda ni rahisi sana.huezi shindana na serikali

Kmlmmykhuezi shindana na serikali
Serikali huwa zinashinikizwa👈 zikubali Reforms kwa njia ya maandamano migomo nk.huezi shindana na serikali
Kwani serikali ni nani? Mzee serikali hawezi pingana na nguvu ya umma, itafeli tu!huezi shindana na serikali
Kama bado Kuna mtu anaiogopa hii serikali atakuwa mfu.It doesn't matter lengo la serikali ni kuwafanya hawa mfano ili kutisha watu, lakini huo ni ujinga maana mapungufu yanayosababisha watu waingie hasira hayatatuliwi kwa maguvu.
Kwani alikuwa anashindana na nanii?Kwa mawazo yake na wasaidizi wake, ni kwamba kura nyingi ndio zinaonyesha dunia kwamba unakubalika.
Kuna Mchungaji mmoja Uingereza ame trend sana, kamwambia Samia, come on, ungesema 52 percent tungekuelewa zaidi.
Yani angeshinda kwa unywele mmoja, 52 percent, au basi sema 65 percent, ndio dunia ingeona kwamba hapo kweli kulkuwa na ushindani, ndo maana wanatifuana. Inakuaje hii simple concept wameshindwa kuiona mpaka majaji wazima wa Tume waliompikia matokea ? Wameshazeeka kiasi hicho wale majaji ??
Patamu hapo.
Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania.
Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani.
Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147 haijataja utaifa wa washitakiwa.
Kijamii, hawara hawezi kukamatwa ugoni. Hawara hawezi kuwa na kesi ya ku chiti, kwa saab hana kiapo cha uaminifu na wewe, hujatoa mahari, hujatoa kishika uchumba, hujatoa chochote.
Kisheria na Kikatiba, Mkenya, Mnyasa, Mmarekani, Mchina, na Mganda, hawawezi kufanya uhaini Tanzania. Hawana kifungo cha uaminifu, hawana allegiance kwa Tanzania. Watafutie kesi nyingine.
Sasa mawakili wa wahaini hawa wameweka pingamizi wakiitaka serikali itaje uraia wao. Wamesema tuanzie hapo kwanza. Hawa kina Niffer wametokea wapiiiiiii ? Serikali imeiomba mahakama irudi Jumatatu kujibu.
Ndio tutajua tuomboleze vifo vya Watanzania wale na kuwazika kwa heshma, au twende na kauli ya Rais kwamba wale si Watanzania na tufute kesi ya uhaini.
huezi shindana na serikali
Kwann 6%We umeona hiyo tu, rudi viti maalumu kwa CHAUMMA. Walisahau kabisa kuwa inatakiwa angalau watenge asilimia 6%, tano 5% wawape Chaumma halafu hiyo moja 1% wagawane waliobaki
Hii dhambi ya uchawa imekuwa kubwa kama ile ya wakatoliki ya kumkufuru roho mtakatifu. Uchawa unapumbaza, uchawa unapofusha, uchawa unaleta uzezeta, uchawa unelata uchawi, uchawa unaleta ukatili. Hii yote kwa ajili ya madaraka
Inaelekea wewe ni shule zile za zamani sana, zile za “la nane la zamani”huezi shindana na serikali
Ndio upo sahihi ukiwashinda kwa hoja wanakimbilia kuua watu kama sisimizihuezi shindana na serikali
...It doesn't matter lengo la serikali ni kuwafanya hawa mfano ili kutisha watu, lakini huo ni ujinga maana mapungufu yanayosababisha watu waingie hasira hayatatuliwi kwa maguvu.
HahahahahSometimes, settle tu maghettoni uvute bangi zako ukitoka hapo kapige deal haram urudi kula bata.
Hii nchi haina haki na vya halali havishibishi.
Inaweza kumshtaki wa terrorism
Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania.
Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani.
Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147 haijataja utaifa wa washitakiwa.
Kijamii, hawara hawezi kukamatwa ugoni. Hawara hawezi kuwa na kesi ya ku chiti, kwa saab hana kiapo cha uaminifu na wewe, hujatoa mahari, hujatoa kishika uchumba, hujatoa chochote.
Kisheria na Kikatiba, Mkenya, Mnyasa, Mmarekani, Mchina, na Mganda, hawawezi kufanya uhaini Tanzania. Hawana kifungo cha uaminifu, hawana allegiance kwa Tanzania. Watafutie kesi nyingine.
Sasa mawakili wa wahaini hawa wameweka pingamizi wakiitaka serikali itaje uraia wao. Wamesema tuanzie hapo kwanza. Hawa kina Niffer wametokea wapiiiiiii ? Serikali imeiomba mahakama irudi Jumatatu kujibu.
Ndio tutajua tuomboleze vifo vya Watanzania wale na kuwazika kwa heshma, au twende na kauli ya Rais kwamba wale si Watanzania na tufute kesi ya uhaini.
Kuna mtu aliwahi kusema uongo ukiwa mkubwa zaidi ndiyo rahisi kuaminika. Nadhani hao wasaidizi wahuni watakuwa wamepita hapo.Kwa mawazo yake na wasaidizi wake, ni kwamba kura nyingi ndio zinaonyesha dunia kwamba unakubalika.