stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
maana yake maisha sio marahisi ivo, na pia kuna viapo vingi vipo kwenye uongozi sasa wewe usitumie akili ya mtaani ukoJibu hoja zake
Acha mipasho.
maana yake maisha sio marahisi ivo, na pia kuna viapo vingi vipo kwenye uongozi sasa wewe usitumie akili ya mtaani ukoJibu hoja zake
Acha mipasho.
Mkuu, usemi huo hautawafikisha popote...Damu imemwagika, Tanzania yumeingia ukurasa mwengine!.Serikali hata iwe na nguvu kiasi gani, wananchi wakiamua...nchi inaparaganyika! Kama vile DRC, Somalia, Libya n.k
Mnaong'ang'ania msemo huo mnawajaza viburi viongozi kisha kupelekea kuharibu nchi
Mwehumaana yake maisha sio marahisi ivo, na pia kuna viapo vingi vipo kwenye uongozi sasa wewe usitumie akili ya mtaani uko
Viapo vipi? Kuna viapo vingi vimekuwepo Ulimwenguni....Kama kuishinda Dola ya Malkia wa Ungereza, licha viapo hivyo Muingereza aliachia Makoloni.....Itakuwa Kiapo fake tulichokiona October 29.maana yake maisha sio marahisi ivo, na pia kuna viapo vingi vipo kwenye uongozi sasa wewe usitumie akili ya mtaani uko
Wanyooshwe na nani wakati kesi ya uhaini inadondoka kabla hata haijaanza?Ni kutaka tu ku challenge statement ya Rais ila haiwasaidii chochote, hao watu watanyooshwa
Wamewatisha kifo hawajaogopa sembuse hizi kesi.It doesn't matter lengo la serikali ni kuwafanya hawa mfano ili kutisha watu, lakini huo ni ujinga maana mapungufu yanayosababisha watu waingie hasira hayatatuliwi kwa maguvu.
Kama hili litatazamwa Kwa jicho la mbali na mamlaka zinazosimamia na kutetea haki za binadamu, hawa hawatatoboaView attachment 3498982
Tokea hotuba za uapisho, tumeambiwa waandamanaji na wahamasishaji hawakuwa Watanzania.
Na baadae maafande wa polisi na wasemaji wa serikali na makada wa chama wamekuwa wakiiga na wakurudia maneno hayo. Sasa kimeumania mahakamani.
Charge sheet ya Niffer na wapanga uhaini wenzie 147 haijataja utaifa wa washitakiwa.
Kijamii, hawara hawezi kukamatwa ugoni. Hawara hawezi kuwa na kesi ya ku chiti, kwa saab hana kiapo cha uaminifu na wewe, hujatoa mahari, hujatoa kishika uchumba, hujatoa chochote.
Kisheria na Kikatiba, Mkenya, Mnyasa, Mmarekani, Mchina, na Mganda, hawawezi kufanya uhaini Tanzania. Hawana kifungo cha uaminifu, hawana allegiance kwa Tanzania. Watafutie kesi nyingine.
Sasa mawakili wa wahaini hawa wameweka pingamizi wakiitaka serikali itaje uraia wao. Wamesema tuanzie hapo kwanza. Hawa kina Niffer wametokea wapiiiiiii ? Serikali imeiomba mahakama irudi Jumatatu kujibu.
Ndio tutajua tuomboleze vifo vya Watanzania wale na kuwazika kwa heshma, au twende na kauli ya Rais kwamba wale si Watanzania na tufute kesi ya uhaini.
mzee unaongea sana, december ingia roadViapo vipi? Kuna viapo vingi vimekuwepo Ulimwenguni....Kama kuishinda Dola ya Malkia wa Ungereza, licha viapo hivyo Muingereza aliachia Makoloni.....Itakuwa Kiapo fake tulichokiona October 29.
Lengo ni kuwa na bunge lote la kijani. Kupata 52% au 65% kungekaribisha Red/Yellow na Purple bungeni.Kwa mawazo yake na wasaidizi wake, ni kwamba kura nyingi ndio zinaonyesha dunia kwamba unakubalika.
Kuna Mchungaji mmoja Uingereza ame trend sana, kamwambia Samia, come on, ungesema 52 percent tungekuelewa zaidi.
Yani angeshinda kwa unywele mmoja, 52 percent, au basi sema 65 percent, ndio dunia ingeona kwamba hapo kweli kulkuwa na ushindani, ndo maana wanatifuana. Inakuaje hii simple concept wameshindwa kuiona mpaka majaji wazima wa Tume waliompikia matokea ? Wameshazeeka kiasi hicho wale majaji ??
Hmjazimisha kitu....Hiyo damu ya October 29 ndio mwanzo wa anguko la CCM.......mtatawala kwa mikono ya damu......huhitaji kuwa nabi kuona mnaipeka Tanzania wapi...mzee unaongea sana, december ingia road
Kwa mawazo yake na wasaidizi wake, ni kwamba kura nyingi ndio zinaonyesha dunia kwamba unakubalika.
Kuna Mchungaji mmoja Uingereza ame trend sana, kamwambia Samia, come on, ungesema 52 percent tungekuelewa zaidi.
Yani angeshinda kwa unywele mmoja, 52 percent, au basi sema 65 percent, ndio dunia ingeona kwamba hapo kweli kulkuwa na ushindani, ndo maana wanatifuana. Inakuaje hii simple concept wameshindwa kuiona mpaka majaji wazima wa Tume waliompikia matokea ? Wameshazeeka kiasi hicho wale majaji ??
😂😂 ccm unaiona kama kakikundi chenu cha tone tone, afrika hii kuna chama kikubwa zaidi ya ccm?Hmjazimisha kitu....Hiyo damu ya October 29 ndio mwanzo wa anguko la CCM.......mtatawala kwa mikono ya damu......huhitaji kuwa nabi kuona mnaipeka Tanzania wapi...
Tutamuua tu. It's just a matter of time!! Mark my word!Kama unaweza kubookmark hii post fanya, Samia lazima tumuue
Samia hana akili kabisaIt doesn't matter lengo la serikali ni kuwafanya hawa mfano ili kutisha watu, lakini huo ni ujinga maana mapungufu yanayosababisha watu waingie hasira hayatatuliwi kwa maguvu.
😂😂 ccm unaiona kama kakikundi chenu cha tone tone, afrika hii kuna chama kikubwa zaidi ya ccm?
si ndo maanaa ccm haipo uko, ccm inafluence siasa kuanzia tanzania mpaka ukanda wa SADC, pia ina historia nzima ya kupigania uhuru wa nchi nyingi afrika haipo apo kwa miaka 60 kwa bahati mbayaKwa nini usimalizie....Hata kwa mauaji ni Chama kikubwa.....Lakini ungelikuwa unajua tu historia ungelitambua vyama vingi mno vikubwa kuishinda CCM leo viko katika dustbin ya historia......na damu isiyo na hatia ndio imetengeneza anguko lenu!
Ndio tatizo lenu....Mmekwama katika historia....Mnashindwa kuona duia inabadilika!si ndo maanaa ccm haipo uko, ccm inafluence siasa kuanzia tanzania mpaka ukanda wa SADC, pia ina historia nzima ya kupigania uhuru wa nchi nyingi afrika haipo apo kwa miaka 60 kwa bahati mbaya
tukiongelea miaka hii, ccm ndo chama kikubwa afrika nzima #9 dunianiNdio tatizo lenu....Mmekwama katika historia....Mnashindwa kuona duia inabadilika!