Mzizi wa Mbuyu
JF-Expert Member
- May 15, 2009
- 7,472
- 7,276
Serikali hata iwe na nguvu kiasi gani, wananchi wakiamua...nchi inaparaganyika! Kama vile DRC, Somalia, Libya n.khuezi shindana na serikali
Mnaong'ang'ania msemo huo mnawajaza viburi viongozi kisha kupelekea kuharibu nchi