Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Panaitwaga box twoOoh kumbe umesoma SOBO,. Ili kuwa mwaka gani mkuu umemaliza
Anaitwa mzee nani hapa bombambili usikute ndo ninayepishana nae saizi๐
Dah,. Mwenyeji kabisa wewe๐Panaitwaga box two
Mi wakunyumbaDah,. Mwenyeji kabisa wewe๐
Sawa sawa sawa,.Mi wakunyumba
Dada To yeye, sasa hapa unayemuonea huruma ni nani katika hao?Ooh,jamani๐คฆ
๐คฃ๐คฃ๐คฃNDio ndio,. Sema we ngoja nikuulize kitu kama kweli wa huku utakua unamjua mzee bado kufa
Kwahiyo, vya kwenye mlenda vimewekwa juisini?Nimecheka!!
Mbona kama sio chai hii
Ni juice iliyowekwa majivu
Aibu sanaIko hivi ameniambia nimtumie nauli pamoja na yakutolea kisha aje nyumbani.
Chaajabu baada ya kutuma nauli na ya kutolea naona kaposti status whatsapp akiwa na shoga ake wanakunywa wine, kwenye hiyo status kaujumuisha na wimbo wa siendiiii nasemaa sieendiiii, katuma na yakutolea, lakini siendi.
Nikimpigia simu anasema nakuja nakuja muda mwingine mzito kupokea simu tofauti na awali. Sasa akili ni mali walisema wahenga, tayari nimerudisha muamala wangu swafi hapa najichekea tuu ha ha ha ha ha fedha yangu imepona swaaaaaafiiiiii
WEe,. Usiniambie we ni mtoto wa mzee Ndunguru maana mbele ya bado kufa ni nyumba ya huyo mzee๐๐คฃ๐คฃ๐คฃ
Yule Mhaya alikuwa anaishi nyuma yetu
Na jamaa kubaki na hamu zake hujakuona?Mhamala umerudishwa๐๐คฆ
Haaah!! Wewe na nani tena?Wengine tulishatuma nauli akala, tukatuma tena, akaja.
Akalala usiku mmoja, kesho yake tukamtimua.
Hili limeniumiza sana๐ต๐ต๐ถ๐ถ๐ถNa jamaa kubaki na hamu zake hujakuona?
Nduguru alishakufa sio Mzee wangu yule ๐๐๐WEe,. Usiniambie we ni mtoto wa mzee Ndunguru maana mbele ya bado kufa ni nyumba ya huyo mzee๐
Sio umasikini bali maamuzi yenye effectIla umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.
Hizo siyo dalili, huo ni umasikini wenyewe..!!
Sio umasikini bali maamuzi yenye busaraIla umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.
Wee mwenyeji kabisa๐,. Sanga yupi? Yule anaendesha kigari flani hivi kidunchuu au yupi๐Nduguru alishakufa sio Mzee wangu yule ๐๐๐
Kota ya mwisho kabisa ya Ndunguru ni ya kwanza.
Mpaka hapo code zimefunguka inatosha. Vipi mzee Sanga bado yupo?