Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Ila umaskini mbaya sana kuna bidada nilimnunulia bia 10 nikaona haeleweki ... Nikazichukua 8 zilizobaki nikabadilisha na takeaway nikaenda kumpa mke wangu.

Ndio ukome

Mke angejua umezileta kwa sababu gani, angevunja chupa zote hizooo.

Ipo siku mdomo utakuponzana ataambiwa

Jionee aibu
 
Ee ndiwoo,. Weee usiniambie unawajua watu wa kule๐Ÿ˜„๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,. Nawafahamu woteee japo sikusoma mda mrefu nlihama

Walimu unawajua nani na nani?
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Primary nimemaliza 2001 wewe

Ila nimehisi tu umesoma Matogoro si unajua sie watu wa ku-teleport hatushindwi kitu
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Primary nimemaliza 2001 wewe

Ila nimehisi tu umesoma Matogoro si unajua sie watu wa ku-teleport hatushindwi kitu
Haaaa mie nikajua secondary๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„,. Shule ya msingiii Maanake hapo si utakuwa ulisoma na akina Uncle labda๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜ƒ,.

Em ngoja kwanza naskiaga majina kama Mwanjisi, mhule, mwanaapa,. Rwekiti , Mkamba vipi na wewe walikufundisha?,๐Ÿ˜„

Kama unawajua hao baaasi ๐Ÿคญ
 
Mimi Sec nimesoma Box 2 headmaster alikuwa anaitwa Kusilawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ