Kimeumana, nimemuweza huyu binti

Huyo hata sijawahi kumsikia masikini,. Maanake ni miaka ya 2002 2003 hahah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚,. Mie nadhani ndio nilikua nanyoya kama sio kuzaliwa Dah
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Duh aiseee kumbe mtoto wa afu mbili. Lakini Mungu amekubariki sana upeo na hekima
 
Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ ya asali na maziwa

On a serious note, mkuu bado hujajipata vyema, kanauli tu umeona status tayari ukanseli muamala ? Why usijiweke vzr kiuchumi kwanza ndio udili na hawa viumbe ? Starehe gharama
Chief Bakhresa unayemjua anauza hadi nyanya pamoja na kua na hela,yeye huyu aliyetuma nauli ambayo biladhaka ni zaidi ya buku,unataka aidharau hiyo pesa kweli?
No wonder matajiri wanakusanya na kuthamini hata shilingi 50,ila maskini anadharau buku.Unachoona wewe ni kidogo,kwa mwenzako ni kikubwa,halafu matajiri wengi hawahongi kama maskini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ