Kimeumana: Resty Bura kajitakia heri ya birthday kupitia account ya mumewe ili aonyeshe mambo ni moto

[emoji23][emoji23][emoji23] sidhani wanaume hawapendi mapicha picha ka sisi wanawake, wangu nilimpiga kisiri yeye hajui kuwa ninayo
Picha zinatukera sana wanaume,halafu hizo za Siri ndo balaa,Kuna siku tupo location tunakula misosi mara amenirusha mtandaoni ,aisee kuona tu nilimpigia simu fasta afute
 
Picha zinatukera sana wanaume,halafu hizo za Siri ndo balaa,Kuna siku tupo location tunakula misosi mara amenirusha mtandaoni ,aisee kuona tu nilimpigia simu fasta afute
[emoji23][emoji23][emoji23]ni kweli wanaume wengi hampendi picha hata kaka zangu ni hawapendi hizo mambo.
 
Resty ndio nani?
 
Kijiwe kimepamba moto kama watu wa kino
 
Yani nimeangalia hyo video nimejikuta namuonea huruma huyo mwanaume daaah. Halafu watu waka mutee wanashangaa tuu
 
Kwa kweli binamu. Wengine hawataki kupostiwa wanajua utawaharibia makoloni yao. Nakumbuka kuna rafiki yangu alimposti babe kwenye status; weee wacha jamaa awake eti ooh "nyumbani kwetu wakijua itakuwaje, ni familia ya dini sana". Best akamwambia huko home kwenu hakuna anayenijua wala kuwa na namba yangu. Basi muda sio mrefu best alifanikiwa kuwajua wake wenzie wengi tu teh
Wanaume walivyo malaya weee ni halali wasipende
 
Hata kukupost mara moja kwa mwaka hutaki? Mimi nisingefuta hiyo picha jamani. Kuna muda huba linakukolea, unatamani umtambulishe mwenzio kwa dunia nzima[emoji38][emoji38]
Picha zinatukera sana wanaume,halafu hizo za Siri ndo balaa,Kuna siku tupo location tunakula misosi mara amenirusha mtandaoni ,aisee kuona tu nilimpigia simu fasta afute
 
Wanaofanya show off mitandaoni mahusiano Yao huwa mabovu na resty hampi pumzi mumewe Ili asinyakuliwe na mijimama ya mjini
Anaogopa matukio dabodaboπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasa wewe inakugharimu nini au huna cha kufanya zaidi ya umbea !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…