Kimodoi (Juston) Unafanya kazi kubwa sana , naomba uje ugombee Ubunge Bukoba Mjini.

Manfried

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2024
Posts
1,288
Reaction score
4,074
James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.

Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .

Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua.

Wananchi wanakuhitaji wewe tu
 
2025 tunaenda na kimodoi Bukoba Mjini
 
Umelipambania Sana jimbo letu.
 
Karibu uendeleze Kazi yako njema ambayo umeshaianza
 
James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini.

Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini .

Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua.

Wananchi wanakuhitaji wewe tu
Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??
 
Back
Top Bottom