Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Jan 17, 2025 #1 James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu
James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Jan 17, 2025 Thread starter #2 2025 tunaenda na kimodoi Bukoba Mjini
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 17, 2025 #3 Duh aiseee
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Jan 17, 2025 Thread starter #4 Umelipambania Sana jimbo letu.
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Jan 17, 2025 Thread starter #5 Karibu uendeleze Kazi yako njema ambayo umeshaianza
Yoda JF-Expert Member Joined Jul 22, 2018 Posts 48,475 Reaction score 70,102 Jan 17, 2025 #6 Manfried said: James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu Click to expand... Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??
Manfried said: James Kimodoi Njoo uchukue Jimbo Bukoba mjini. Kijana kimodoi kutoka Texas nchini Marekani tunakuomba uje uchukue Jimbo Bukoba mjini . Tunahitaji Kijana Mzalendo na mchapa Kazi na anayejitambua. Wananchi wanakuhitaji wewe tu Click to expand... Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba??
Manfried JF-Expert Member Joined Oct 11, 2024 Posts 1,288 Reaction score 4,074 Jan 17, 2025 Thread starter #7 Yoda said: Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba?? Click to expand... Ndio mkuu , huyo ndo amekuwa akihudumia jimbo tangu 2015 -2025
Yoda said: Mnataka mtu kutoka Texas Marekani ndio awe mbunge wa Bukoba?? Click to expand... Ndio mkuu , huyo ndo amekuwa akihudumia jimbo tangu 2015 -2025
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 20,419 Reaction score 39,217 Jan 18, 2025 #8 Tumeni picha tumuone,je ana PhD au ni mbeba box