Amani na Upendo
Senior Member
- May 5, 2012
- 124
- 206
Victor,Mange hajamtukana Lema,Mtoto wa kiume kuambiwa “grow a pair or a set of balls maana yake unaambiwa kuwa jasiri,jiamini au toughen up.Slang Idiom Having testicles iko associated na toughness au Ujasiri,Mange alikuwa sahihi kabisa kumtaka Lema kuwa na Ujasiri.Mtibeli mwenzangu, huyu mtu siyo kabisa ......kutukanwa na Kimambi ni suala la kuita Press? Hivi kusema yeye ndiye alikuwa chaguo la Lissu inaruhusu nini? Mtu mwenye nafasi ya kusema alishindwa kuita Baraza kuu?
Hakuna mtu pale, wewe Kaka wa mwenyekiti wake amefariki, pia anasubiria hukumu ndani ya siku chache, pp........kusubiri hata kidogo baada ya hukumu?..Anataka chama