Ilikuwa ndio gari yake ya kwanza, alikuwa hanipi ata kidogo, nakumbuka siku akaniambia nimsindikize anaenda Nairobi ataniacha Arusha stendi pale jogoo house kisha nirudi na gari, alivyofika pale alabadirisha maamuzi akampigia fundi aje kuchukua gari na mim nimo ndani,Loh. Mzee wako nae kazidi passo ndoo moja kubwa inatosha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unaweza kuta jamaa alikuwa anaweweseka huko akilala maana gari yake inazungumza nae kwenye usingizi. Unashangaa mke anapigiwa video call anamwambia hebu nionyeshe gari yangu kwanza.
Kutoka Japan hadi mkononi kwako ni 11-12 haizidi hapo
Dah hiyo chuma nitaimiliki tu one day.The real deal....
Umenifanya nikumbuke ndoto ya kuja kusukuma Chevy Camaro...sisi watu wa mimbio kuna gari unatamani uwe nayo na siku unaendesha barabara iwe wazi kama anapita Mama Samia 😁😁
Mimi nikiwa na 21 years nimeanza kumiliki gari yangu mwenyewe magari tokea kitambo yani darasa la 5 sijui huko..ndo maana unaona ID hapo magari damu. Sisi hatunaga roho mbaya hizo. Hadi washkaji zangu hua wananishangaa inakuaje nasaidia sana watu gari.Nunua afu utajua ni korosho au ni karanga lol
[emoji1787][emoji1787]roho mbaya ya nini kiasi hiki. Na hapo hata kioo hakikupasuka asee. Kingepasuka si ndo angepelekwa segerea kabisaTena anaweza kuwa mtata kama kuna mzee huyo alinunua nissan hard body kipindi zinatoka. Yakwake ilikuwa kali balaa. Sasa alikuwa anapita mtaani kuna madogo wanacheza mpira m'moja akabutua ukapiga kioo ila hakikuvunjika.
Mzee alishuka amechanganyikiwa madogo wakatawanyika. Akaenda akarudi tena akaulizia dogo aliepiga mpira ni nani, madogo wakamchoma mwenzao mzee akawaambia wapande wampeleke kwa huyo dogo.
Mzee walifika na akaonana na mzazi wa yule dogo dah dogo alichezea stiki kwa mshua wake.
Mzee kiroho kikasuuzika .
Dah hiyo chuma nitaimiliki tu one day.
Nahadithiwa? Na nani?Bila shaka hua unahadithiwa khs bei za magari tu.
Nambie boss lady[emoji16][emoji16]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Nambie boss lady[emoji16][emoji16]
Sasa alianzaje kupanda daladala na kuacha gari alipigiwa simu kuwa nyumbani kuna majanga nini?!Ilikuwa ndio gari yake ya kwanza, alikuwa hanipi ata kidogo, nakumbuka siku akaniambia nimsindikize anaenda Nairobi ataniacha Arusha stendi pale jogoo house kisha nirudi na gari, alivyofika pale alabadirisha maamuzi akampigia fundi aje kuchukua gari na mim nimo ndani,
Alivyolizoea akawa anaona ni kitu cha kawaida, ajabu kuna siku alituacha hoi sana, amelisahau gari mjini alaf karudi na daladala akashtuka night sana nje amna gari akapiga cm tu... Gari linatia wenge. Mzee ilikuwa akipita kwenye shimo anashtuka kama kajikata na kisu ivi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkuu yakweli haya.Mimi nikiwa na 21 years nimeanza kumiliki gari yangu mwenyewe magari tokea kitambo yani darasa la 5 sijui huko..ndo maana unaona ID hapo magari damu. Sisi hatunaga roho mbaya hizo. Hadi washkaji zangu hua wananishangaa inakuaje nasaidia sana watu gari.
We ule mpira ulivyopiga mzee nadhani huko ndani atakuwa alipata mshituko wa mlipuko wa moyo maana mpiga ulipiga halafu ukatua katika bonet sasa ile mikelele mzee alichanganyikiwa balaa[emoji1787][emoji1787]roho mbaya ya nini kiasi hiki. Na hapo hata kioo hakikupasuka asee. Kingepasuka si ndo angepelekwa segerea kabisa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamaa kaona akaitazame maana kulala hapanaAisee[emoji3]View attachment 2013926
Ni kweli uyavyosema but the fact is, to me is not about taking things for granted au kutojua thaman ya vitu ambao hujaigharamia, ni hivi, kwangu Mimi Bila kujali gari ni yangu lakin bado nilko kwenye barabara zile zile, naishi maisha yale yale nliyokuwa kabla ya kupata gari yangu, Mimi gari bila kujali ni yangu ama ni Uber, ama daladala but it's just mode of transportation. Hiyo ni moja ya ukweli mgumu sana kwa watu kuishi nao. The material things doesn't matter to me anymore. Iwe nyumba nzuri, simu nzuri ama chochote kizuri, I get bored the second I own it. So Mimi hua naona gari halifanyi maisha yangu kuwa bora pale nanunua. Mimi kuwa mtu mzuri na kufanya kwa ajili ya wengine ni hisia bora zaidi kuwahi kuwa nazo...it's put smile on my face kila nikikumbuka😊....but sorry I'm not trying to be disparate, najaribu to express my view...The negative side of being born with a silver spoon
Taking things for granted
Thamani ya kitu hujaigharamia
And kuna tofauti though kujua kuendesha ukiwa mdogo vs actually owning a car...eitherways self purchase ya gari ina raha sana si km la kupewa