Masseto
JF-Expert Member
- May 14, 2020
- 1,615
- 3,205
Ilikuwa ndio gari yake ya kwanza, alikuwa hanipi ata kidogo, nakumbuka siku akaniambia nimsindikize anaenda Nairobi ataniacha Arusha stendi pale jogoo house kisha nirudi na gari, alivyofika pale alabadirisha maamuzi akampigia fundi aje kuchukua gari na mim nimo ndani,Loh. Mzee wako nae kazidi passo ndoo moja kubwa inatosha.
Alivyolizoea akawa anaona ni kitu cha kawaida, ajabu kuna siku alituacha hoi sana, amelisahau gari mjini alaf karudi na daladala akashtuka night sana nje amna gari akapiga cm tu... Gari linatia wenge. Mzee ilikuwa akipita kwenye shimo anashtuka kama kajikata na kisu ivi