Kimuhemuhe cha umiliki wa Gari ya kwanza

Kuja kuipata hiyo parking sasa
Mimi upanga kule kuna majengo mengi sana najuana na washkaji halafu kutwa nzima yanakuwa idle. So huwa nakwenda naiweka pale tena free tu. Kisha narudi mjini kariakoo kufanya yangu hadi nimalize. Ni kazi ila nasave pesa plus unecessary stress za kutoka karikoo ule muda wa rush hour.

Maana unaweza ingia kariakoo saa nane ukatoka saa kumi na moja kasoro sasa balaa namna ya kutoka hadi ufike home.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mimi huwa sisumbuki naacha mkuki mall...askari nampoza na buku nachukua boda nazama kariakoo
Ndo ipo wapi hiyo?!

Sheli pia na supermarkets na maduka yenye parking ni sehemu nzuri kujibanza.
 
Yeah hii pia ni nzuri ila inategemea pia unaishi maeneo yapi!

Kama uelekeo ni kigamboni au ally Hassan mwinyi road hapo safi
 
Hahahaaa hapa kama umeniona, nishaandaa list ya nyimbo na uwezo wa kununua kwa sasa sina lakini najua one day yes. Nawaza siwezi acha weka mafuta full tank
Njoo tulime maparachichi huku. Baada ya miaka mitatu tunanunua vi Vitz vyetu [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…