Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

🤣🤣🤣 Kwa jinsi ilivyo ya kipekee. Sioni hata wa kukufananisha naye.
 
🤣🤣🤣 Kwa jinsi ilivyo ya kipekee. Sioni hata wa kukufananisha naye.
Mimi ndugu zangu marehemu remmy ongala, masoud sura mbaya, nahisi harmorapa anaweza akawa ukoo wetu,sura inakuja kuja ila shida akili yake haifanani na watu wa ukoo wetu. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…