Kimuonekano umefanana na mtu gani mashuhuri?

Mimi siendi mbali kwa sura naelekea kufanana na huyo kwenye avatar yangu, mengine tukionana kwenye get together 🤣
 
Wengine hunifananisha na TINO MUYA-bongo movie filamu,Wengine hunifananisha na EDEN HAZARD-REAL MADRID, Wengine KYLIAN MBAPE-PSG...basi tafrani tupu..Huwa nawaasa waache michezo ya kufananisha. I THINK THEREFOR IAM.
 
huwa sipendi kujifananisha muonekano wangu na celebrities/watu mashuhuri kwasababu kitabia huwa hawaeleki.

unaweza kushangaa baada ya mda fulani mtu ambaye unamchukulia kama rolemode wako, anajitangaza yeye ni shoga.

rejea ile issue ya michael scofield wa series ya prison break au anderson cooper wa cnn.

huyu anderson cooper wakati nikiwa chuo kabla hajajitangaza yeye ni shoga, nilikuwa namu admire sana. akanifanya na mimi nitamani kuwa mtangazaji wa tv siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…