Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,.

Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga ila sijawahi kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha.

Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara flani na anaonesha nia ya kuoa, nimeona nimpigie ka reseach ka mapema.

Jinsi alivyo ni mrefu, mchangamfu kimtindo, ni msabato.

Ni watu wa wapi?
Ni kabila lipi?
Stereo types zao nzuri na Mbaya?
 
Kabila: Wakurya
Wenyeji(mkoa): Mara
Sifa nzuri: Hawajui kutelekeza watoto (yaani ukizaa nae halafu mkaachana atafanya juu chini achukue wa(m)toto wake hata kwa kumuiba)
Sifa mbaya: Wanyanyasaji(uzushi tu hii ni tabia ya mtu sio kabila), hawapendI dharau.

Nahisi hizo zinatosha
 
Hao ni waluhya toka Kenya, wanasifika kwa ustaraabu, wapole, hawana hasira, wanajua kuhandle wanawake vizuri, walinzi wazuri wa familia, siku wewe na mdogo mkimchokoza atawapa zawadi ya upendo, Karibu Sirari mura.
 
Vita mura, chacha Marwa chacha
 
Chacha.. Wakurya kutoka tarime na maeneo jirani mkoani mara.

Ni ndugu zake akina heche, sirro, ryoba, wambura na msuguri.

Kazi yao serikalin ni majeshini, pia wez na majambazi.

Siku huyo dada yako akijichanganya atapokea kichapo cha mbwa koko.

Wanatahiriwa kwa kisu, mboo inakuwa na makovu mengi, so dada yako anasuguliwa vzr hivyo hatabanduka.

Maelezo ya zaidi anakuja bwana mdogo GENTAMYCINE mwenye kipaji kuliko wote, iq yake nene kuliko wote kusin mwa jangwa la sahara.
 
Kwa haya Madongo uliyotupiga wana Mkoa wa Mara ( Musoma ) sina shaka kuwa Wewe ni miongoni mwa Watani zangu Wakubwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakara na Wanyamwezi. Nimecheka mno.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…