NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,.
Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga ila sijawahi kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha.
Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara flani na anaonesha nia ya kuoa, nimeona nimpigie ka reseach ka mapema.
Jinsi alivyo ni mrefu, mchangamfu kimtindo, ni msabato.
Ni watu wa wapi?
Ni kabila lipi?
Stereo types zao nzuri na Mbaya?