Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

😁😁😁😁
Kina Dada wa JF huu uzi msichangie Kuweni wapenzi wasomaji maana unawaanika tu.
Hata ukituanika Wala zisiwe shida zenu ....hizi ni shida zetu mkuu
 
Kizz Daniel nae kaongea hiki hiki,wakati anaanza kuimba wengi walimwambia hajui,ila mkewe ndiye aliye muamini akawa anampa hela ya kurekodi studio, leo hii anafurahia matunda na mmewe.Kuna siku alimpost wakamponda,mbaya nao ndio akawapa hii historia fupi na mkewe na mwezi huu kaachia nyimbo ya kumsifia mkewe.

Alisimulia story hii baada ya kumpost mkewe watu wengi hasa wanawake walimponda mbaya,ndipo akawaambia why mkewe ni special.
 
Michelle Obama alikuwa anatoa story siku ya jwanza Barack Obama kaja kumpitia waende kwenye date, kaja na gari bovu ukiangalia chini limetoboka mpaka barabara unaiona.

Lakini alinuelewa huyu mchizi akiki yake kubwa tutafika naye mbali.

Akaenda naye mpaka Barack kawa rais wa Marekani.

Nas ali rap

"One for the honies who roll blunts up but don't smoke
Two for the few who see potential in you when you broke"

Nas - "Hey Nas"
 
Bila kusahau Jay Z kwenye Bitches and Sisters alisema

Sisters get respect, bitches get what they deserve
Sisters work hard, bitches work your nerves
Sisters hold you down, bitches hold you up
Sisters help you progress, bitches will slow you up..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…