Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 29,028
- 69,666
Kwa kwel aisee, hawa watu hata kama kuna muda wanazingua ila tuwape tuu pumziko la moyo 😂Wanawake wana pitia maumivu sana ya mahusiano bora tuwatie moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kwel aisee, hawa watu hata kama kuna muda wanazingua ila tuwape tuu pumziko la moyo 😂Wanawake wana pitia maumivu sana ya mahusiano bora tuwatie moyo
😂😂😂 atamim npo attention mda wote ila sion kibahashaNimeingia humu nikadhani nitaona kibahasha hapo juu, Kimya?
sijui kama utaweza kweliBc ngoja niwe mpole
Ntajitahidi 😂sijui kama utaweza kweli
All eyes on u😂😂Ntajitahidi 😂
Barikiwa sanaPole sana aisee
Hata ukituanika Wala zisiwe shida zenu ....hizi ni shida zetu mkuu😁😁😁😁
Kina Dada wa JF huu uzi msichangie Kuweni wapenzi wasomaji maana unawaanika tu.
Nilikua nafatilia ila hii gia imegeukia hewani 😅😅😅😅Nakubali. Japo wa hiv mko wachache sana
I Love you😂😂🤣🤣 Hakika sorry for insulting u,, nisamehe sana,,ila sikupenda jibu na tusi lako really sorry
Kizz Daniel nae kaongea hiki hiki,wakati anaanza kuimba wengi walimwambia hajui,ila mkewe ndiye aliye muamini akawa anampa hela ya kurekodi studio, leo hii anafurahia matunda na mmewe.Kuna siku alimpost wakamponda,mbaya nao ndio akawapa hii historia fupi na mkewe na mwezi huu kaachia nyimbo ya kumsifia mkewe.Taiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake 👏🏿👏🏿
Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina pesa za kutosha kufanya jambo zuri Kwa ajili yake 😭😭lakini binti wa watu aliziba masikio na kusema naamini ipo siku tutapata hizo pesa ambazo watu wanaona hatuna 🥺
Nilipopata Fursa ya kucheza mpira alikuwa ananisukuma kuwahi mazoezi Kila siku 👏🏿👏🏿
Na Sasa tunaishi maisha ya furaha nimepata pesa nimemnunulia Kila kitu alichokuwa anakitamani na hata Sasa naendelea kumnunulia ili azidi kufurahi 💕💕alinipenda wakati sikuwa na kitu ,akakubali kuolewa na mm wakati sikuwa na kitu ,Sasa nimezipata Fursa kwake kuzitumia ❤️❤️
Wale walionidharau ,walisema mm ni maskini siku hizi wanapiga simu wanaomba msaada kwangu 🤪 wasichana walionikataa Sasa hivi wanalilia na kusema wako tayari kutoa miili Yao Kwa ajili yangu 🤣
Nawaaambia tu kaeni mbali am happily married man 👏🏿👏🏿👏🏿
WeeView attachment 3025519
❤️ Sorry 🙏🏾I
I Love you
Bila kusahau Jay Z kwenye Bitches and Sisters alisemaMichelle Obama alikuwa anatoa story siku ya jwanza Barack Obama kaja kumpitia waende kwenye date, kaja na gari bovu ukiangalia chini limetoboka mpaka barabara unaiona.
Lakini alinuelewa huyu mchizi akiki yake kubwa tutafika naye mbali.
Akaenda naye mpaka Barack kawa rais wa Marekani.
Nas ali rap
"One for the honies who roll blunts up but don't smoke
Two for the few who see potential in you when you broke"
Nas - "Hey Nas"
Yan kusoma tu kichwa kimeniuma
mpepigwa na kitu kizito, mmepoteanaSame to me,Mara mia ujijue na chako
mkivumilia mtakula mema ya nchiyaani,,leo wanakuja tu eti tujifunze kuvumilia
je tajiri hafilisiki? Akifilisika mtatoka nduki?Kufa na hali yangu si dhambi kuliko kutegemea kusubiri mtu atajirike
watu wa sayansi hatujali grammaShenz, english yenyewe inakupiga chenga halafu unabweka hapo umaskini nyenyeee.