pole sana wifi umepitia mengi πakwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
yani wewe,,acha tu ππpole sana wifi umepitia mengi π
akwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
Ke wa JF wamepigwa kwenye mishono maana si kwa mapovu haya π
Kauli za wadangaji hiziakwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
Wanapitia hali ngumu kihisia ila wanajikaza tu.Ke a JF wamepigwa kwenye mishono maana si kwa mapovu haya π
Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
usipende kuropoka usiyoyajua we kiruka njia sawa eeh,,kila mtu ana background yake,na uache kiherehereKauli za wadangaji hizi
SureTaiwo amesema kitendo Cha kuoa kabla ya kupata pesa na umaarufu kimemsaidia sana katika maisha yake ππΏππΏ
Kipindi ambacho naoa Kila mtu alimshauri mke wangu asiolewe na mm maana nilikuwa Sina pesa za kutosha kufanya jambo zuri Kwa ajili yake ππlakini binti wa watu aliziba masikio na kusema naamini ipo siku tutapata hizo pesa ambazo watu wanaona hatuna π₯Ί
Nilipopata Fursa ya kucheza mpira alikuwa ananisukuma kuwahi mazoezi Kila siku ππΏππΏ
Na Sasa tunaishi maisha ya furaha nimepata pesa nimemnunulia Kila kitu alichokuwa anakitamani na hata Sasa naendelea kumnunulia ili azidi kufurahi ππalinipenda wakati sikuwa na kitu ,akakubali kuolewa na mm wakati sikuwa na kitu ,Sasa nimezipata Fursa kwake kuzitumia β€οΈβ€οΈ
Wale walionidharau ,walisema mm ni maskini siku hizi wanapiga simu wanaomba msaada kwangu π€ͺ wasichana walionikataa Sasa hivi wanalilia na kusema wako tayari kutoa miili Yao Kwa ajili yangu π€£
Nawaaambia tu kaeni mbali am happily married man ππΏππΏππΏ
WeeView attachment 3025519
Easy and breath Miss, maneno makali sana haya na hayatakiwi kutolewa na Dada ambaye una ubavu wa Mwanamumemabao mengne bora wazee wenu wangepiga nyeto au mama zenu wangemeza p2 mkafie uko
Achen umalaya, tafuteni pesa zenu, achen kupigia hesabu mafanikio ya watu, kuweni real kwenye love. Huwez sema unamvumilia mtu unayemependa..yaani,,leo wanakuja tu eti tujifunze kuvumilia
ni vema kujifunza kupitia sisi ambao tulikosea ili wasirudie makosa yetuππππ
Kina Dada wa JF huu uzi msichangie Kuweni wapenzi wasomaji maana unawaanika tu.
kaanza yeye mie namalizaEasy and breath Miss, maneno makali sana haya na hayatakiwi kutolewa na Dada ambaye una ubavu wa Mwanamume
usilolijua usikurupuke mkuuππhakuna alotegemea pesa ya mtu,,,sema saivi mmezid kua vimarioo mnataka kulelewa,,tunakubali kuwalea mnatupga na vtu vizito.Achen umalaya, tafuteni pesa zenu, achen kupigia hesabu mafanikio ya watu, kuweni real kwenye love. Huwez sema unamvumilia mtu unayemependa..
Ukome kenge wee!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliiii?akwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
πππ Tayari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] em sema kweliiii?