Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Hebu tuambie ili experience mazuri, mabaya, mapungufu yapi?
N vile tuu alitaka mwanae awe karibu na babake huku hapo hapo niliamua kuchukua jukumu hilo la mwanae.
Sasa hilo sio tatizo ila tatizo ni kwamba alitaka mtoto akiwa kwa babake nae awepo huko huko nkaona huo n upuuzi hvy nikakata kila nilichokuwa nafanya kwa mwanae, alirudi na kilio mana huyo jamaa ake alikuwa hamfanyii lolote mwanae ila Mm nikawa tayari Nimefunga madirisha na mlango.

CC Ms R
 
lilikua lijinga aseeeee,,
 
ivi alikua anafkiria mara mbili kwel!!?
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Yani jf hata km hutaki ugomvi utalazimishwa, sasa aliyekwambia single maza haolewi nani??
Sema ile avatar yako ya lol single mother linaongea na Aifoni ndio nzuri irudishe basi 🀣🀣🀣
 
akwende kule na umaskini wake,,sio maskini wote wa kuvumiliwa wengine ni vichomi,, now I'm regretting here for wasting my time to him.
What have you done with your life? Was he also an obstacle in your efforts to make your own dough? Aren't you also part of the problem, dear sis? 😳
 
Pole sana mamaa, niliwahi kuwa na mahusiano na single mamaa fln aiseee hua sijui n kwamba anapenda kwel au anataka sehemu ya kutuliza hisia zake kwa ndoa.

Kumbe ulioa? Una watoto wangapi mahi lavu [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…