Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

whatever 😁😄 lakin siwezi ingia kwenye relation yoyote eti kwa sabab ya nloptia,,ila upendo ndo utanisukuma😎🤏🏾
😁😁😁
Kwani Mi nataka rilesheniship?
 
nilikua nazo na tulitumia zangu ,,sasa tungeishi vipi kama wote hatuna kitu!?
Pole sana hamna kitu inauma km kumtunza mwanaume kwa jasho lako halafu akupige tukio, hata bila kupigwa tukio bado mi siwezi kumpa mwanaume senti niliyoitolea jasho labda nimpe nikitegemea nitapata mara 5-10 yake, bora uliwe K bure ila mwanaume asile hata buku langu aisee,
hiki kipaji nashukuru kimenipita kushoto na wewe usirudie tena mwanaume atakula kwa jasho lake na mwanamke atazaa kwa uchungu full stop
 
Labda sio hizi ng'ombe za sasa hivi ..hasa ng'ombe za dar ni sawa na vampire zina nyonya hadi damu
Matumizi mengi huku msiwe mnalinganisha maisha ya jijini na huko nanjilinji ambapo kwenda sokoni hawatumii nauli, kuna huduma nyingine wanapata bei karibu na bure
 
Back
Top Bottom