Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Kina dada jifunzeni hapa, usimdharau mwanaume asiye na kitu huwezi jua kesho yake

Hapo usikute kuna demu alimchumbia akagoma akaolewa na dreva tax akijua gari lake kaishia kutibuliwa kazaa nae jamaa kanyang'anywa gari kwa ulevi saivi karudi kijijini analima mihogo halafu anamuona mwanamke mwenzie akipepea kwenye pipa akila masafa, hakika hekima inahitajika hapa duniani
 
sema ndo tunaangukia kwa malofa balaa🤣
Shida mnaangalia sana wavaa milegezo na hereni masikioni. Sisi wavaa mikanda kiunoni mnaturuka, nyota njema uonekana asubuhi.
 
Back
Top Bottom