Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Mawazo potofu hayo
na wanaume wanaokimbia pembezoni mwa barabara tusemaje
 
Ni m
tazamo tu
 
Kuna kitu nimejifunza jinsi tunavyokuza ufahamu wetu na kuwa na ulevi wa aina fulani kiakili. Kunashida namna tulivyokuzwa na kila mara kile kilichomo akilini mwetu hutafsiri tunacho kiona na kuamua namna ya kuamua. Kitu kimoja kitaamuliwa na watu tofauti kufuatana na namna alivyojengwa kihisia.

Mtu aliyezoea kuangalia na kucheza mpira akili yake na lugha zake huenenda na kile kicho moyoni.

Lakini ukizoea pombe ukipita maeneo ya kinywaji lazima yale mazoea yatatriga akili iliushiriki kinywaji. Vilevile kama umezoea kuangalia ngono au maumbo ya wanawake au kifanya uzinzi na uasherati lazima utamvua nguo kila mwanamke au mwanaume pale umuonapo. Hili ni jambo ambalo huendeshwa na akili kwa sababu ya mazoea.

Hata kwenye maamuzi ya maisha kadiri unavyozoea kuamua mambo mengi kwa ufanisi tangu utoto, likely kuwa mfanyabiashara au kiongozi bora.

Hivyo ni vizuri kujikatalia baadhi ya mambo ili kutoathiri akili zetu. Na ndio maana Mungu anatushauri kutopenda mambo manyoge ilikurinda mstakabali wa jumla wa maisha yetu.
 
ipo moja ilikuwepo kinondoni sijui kama bado ipo,walikuwa wanachukuana tu wenyewe,wanakimbia kumbe wapo pair,na wewe ukienda ukimkuta single mwenzio jinsia tofauti mnatengeneza pair,wanamegana balaaa
 
Haaaa[emoji13] [emoji13] [emoji13] acha tamaa
Unanicheka eehh..! Juzi kati kidogo niingie mtaroni njia ya chuo via baruti kwenye zile kona nilistuka gari inaelea kuingia mtaroni karibu na mto..[emoji125] [emoji125]
 
Unanicheka eehh..! Juzi kati kidogo niingie mtaroni njia ya chuo via baruti kwenye zile kona nilistuka gari inaelea kuingia mtaroni karibu na mto..[emoji125] [emoji125]
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kisa chura au ?
 
Unanicheka eehh..! Juzi kati kidogo niingie mtaroni njia ya chuo via baruti kwenye zile kona nilistuka gari inaelea kuingia mtaroni karibu na mto..[emoji125] [emoji125]
[emoji38] [emoji12] achaga tamaa utakuja ufe wewe
 
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kisa chura au ?
Siyo vyura tu, kuna wakati kitumbua kabisa unakiona etii kimefichwa kidogo tu, siku uzalendo ulinishinda nikatoa lifti afu kakaa mbele kila mara najikuta nimehama barabarani na kupigiwa honi...[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…