Kina dada: Mazoezi yenu kando ya barabara ni ufuska mtupu

Sijui kwanini wabongo wanawaza ngono tu

Mkuu;
Hatuwazi ngono tunawazishwa ngono. Kama umewahi kujionea mwenyewe, usingelitoa neno hili. Wallah, naona kuwa hawa dada zetu wanatufanyia hiyana tu ili tulale central ka wauza ngada waleeee! Dah! Unamkuta kavaa nguo halafu jasho limetiririkia kulee mpaka huna haja ya kuujua uzito wake kulee. Ni nini hii?? Mnasema picha za ngono hakuna ila mazoezi haya mnayabariki. Something is wrong some where. Waziri wa jinsia lisemee hili
 
Siyo vyura tu, kuna wakati kitumbua kabisa unakiona etii kimefichwa kidogo tu, siku uzalendo ulinishinda nikatoa lifti afu kakaa mbele kila mara najikuta nimehama barabarani na kupigiwa honi...[emoji12] [emoji12]
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji38] [emoji38] haki una pepo la ngono
 

Wakati mwingine unaweza kufikiria hivyo kweli aisee
 
kama naziona hzo yoga pants [emoji23][emoji23][emoji23][emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kuna ambao wanatokaga mjini maofisini kuja huku mitaani wakiwa na nguo zao za kichokozi wanatroti mdogo mdogo, viwalo vya ofisini wamevisunda kwenye mabegi yao ya mgongoni,
nimegundua wengine hua wanasevu nauli, wengine wanakwepa foleni na wengine kweli mazoezi
 
heee kwaiyo wavae madela? hatuko arabuni jaman fungeni macho kama mnakereka
 
Hawa wafada wa balaa sana. Siku moja kuna jamaa alikuwa mbele yangu hlf hao akinadada walio jaaliwa wanapasha kule baharini. mara ghafla tunashangaa gari inahama mdogomdogo barabaran hadi alipopigiwa honi. bila shaka jamaa alikuwa anavusha.
 
Especially tabata aiseee anzia,bima mpaka,segerea
Unaweza kugongwa ns gar
Kwa kutazama chura dhaa!!

Dodoma,singida
 
Ukipita viunga vya UDSM alfajiri-asubuhi na jioni/usiku. Utashuhudia kinadada wakiwa wanafanya jogging pembezon mwa barabara aisee ni full-mitego. Mtu anajibana mpaka ramani ya Makao Makuu yanaonekana. Wengine mpaka chachandu zinaruka-ruka. Mpaka mtu unajiuliza haya ni mazoezi tu ama Sokoni? Na wale Askari getin nadhani nao wanafurahia kuona hizo Mambo.
 

Attachments

  • IMG-20200610-WA0001.jpg
    123.7 KB · Views: 3
  • IMG-20200610-WA0002.jpg
    148.5 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…