Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mweeh... Nashkuru sina wifi,maana the way nilivyo ningepata tabu kama ningekutana na mawifi waruwaru
Gubu la ndugu wa mme tehWifi mwenye gubu
Kuepuka unnecessary migogoro ni kuwa na distance tukuna wifi mpaka mama wakwe wengine nao wasumbufu sana. kutwa maneno tu.
na sisi wanaume tuwe na misimamo.
Kuepuka unnecessary migogoro ni kuwa na distance tu
Distance ya makazi na too much mazoea piahapo umenena hakika. unakuta mtu anapoishi ni karibu na kwa wazazi wake. distance muhimu sana
Distance ya makazi na too much mazoea pia
Ila me nafikiri mwanaume (kaka) ndo anatakiwa asimame kiume (awe na msimamo), otherwise ataendeshwa na madada zake hadi ndoa imshinde. Asipowaruhusu dada zake kumtawala, basi hakuna atakayemtawala. Na huyo dada wa kumpangia kaka ake matumizi yeye hana familia ajipangie matumizi yake khaaa!! Mwanaume ndo kichwa cha familia yake na sio dada zake. Kichwa kikitetereka Kila kitu kitaharibika
Mmh hongera, upigwe vizuri tusasa dada alikuwa ananidunda tangu utotoni, hata miezi kadhaa nyuma kabla ya kufunga ndoa alinidunda....leo anipangie nikatae kweli?? hunitakii mema
Kaka angu anae tayari lol jiweke kwa mdogo angu ka vepe uenjoy kuwa ha wifi nisie na gubu
Ungeenda kuishi na dada ako ili usimpe shida mkeo ingependeza zaidsasa dada alikuwa ananidunda tangu utotoni, hata miezi kadhaa nyuma kabla ya kufunga ndoa alinidunda....leo anipangie nikatae kweli?? hunitakii mema
Mi namtaka kaka yako yuleee...sitaki kaserengeti boy mimi
Hahaa daaah umenikumbusha....mimi na kaka yangu ninayemfuata tangu tupo wadogo tunapendana kishenz...yan ni marafiki haswaaa...tukikaa pamoja full kutaniana, kupigana,kukimbizana yan full raha. Sasa juzi tu hapa hata kaja kututambulisha mkewe mtarajiwa. Bas my elder sista kaniambia nianze ku-maintain distance maana keshakuwa na wake sasa...yaan ni furaha iliyochanganyika na machungu