Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Nelson unazingua babu, afu si sifa ya kiumeni kugombana na wanawake heshimu wanawake basi hata huyo anayejiuza mtaani ujue na yeye anatoka jasho, anapigwa na baridi kuitafuta pesa muheshimu basi, afu comment ya madame mbona ya kawaida sana Daby kauliza swali madame kajibu kiufasaha kuwa mkono mtupu haulambwi, not cool at all halafu wewe ni mmojawapo unapenda kuwasakama kuwatukana single moms badilika Nelson dunia duara ujue, badilika mkuu.
 
Too late, yashaishaga hayo mkuu mi sijagombana wala sipendi kugombana, am just commenting, like how they comment, sasa wao wanatoa comment za kejeli na mimi natoa za kejeli suddenly its personal, come on nobody cares in the end.
 
Too late, yashaishaga hayo mkuu mi sijagombana wala sipendi kugombana, am just commenting, like how they comment, sasa wao wanatoa comment za kejeli na mimi natoa za kejeli suddenly its personal, come on nobody cares in the end.
Sawa
 


hehehhe mbona hookers!
 
Lord have Mercy!
 
Muda nwingine tunawasalimu tu mkuu hatuhitaji mahusiano ya kimapenzi.
Wenzako ndo hawataki sasa. Wanataka kugegedwa / kuzalishwa / kuolewa... Salamu kamsalimie bibi yako... ebo!

Nyie madogo mmezubaa mpk michuchu inaangukia kwetu wazee wakati sisi nguvu zishaisha siku mingi. Mkiendelea hivi watahamishia mahaba kwenye madildo... mtabaka sabuni mpk mikuyenge yenu iote sugu.

Niko kaunta ya juu hapa Mapinga kwa hisani ya K Vant na Safari Lager
 
Babu waambie ukweli kwanini tunaangukia kwa wazee.
 
Daah aisee nilienda pm kwa demis nilijuta

Full kufukuliwa makaburi hata salamu skumaliza kuitoa vzur nishakula block

Demis mungu anakuona kwa ulivyonifanyia [emoji23] [emoji23] [emoji3]
 
Ila mzee mbona hukuniambia yote haya siku zote nikajirekebisha.

Ona sasa nishaachwa na wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…