Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mhh, samehe bure mamaaSasa watu tunaenda kufukua makaburi.
Asilie mtu tu hapa
Nikirudi narudi na screenshot kama 15 hivi
Too late, yashaishaga hayo mkuu mi sijagombana wala sipendi kugombana, am just commenting, like how they comment, sasa wao wanatoa comment za kejeli na mimi natoa za kejeli suddenly its personal, come on nobody cares in the end.Nelson unazingua babu, afu si sifa ya kiumeni kugombana na wanawake heshimu wanawake basi huyo anayejiuza ujue na yeye anatoka jasho kuitafuta pesa muheshimu basi, afu comment ya madame mbona ya kawaida sana Daby kauliza swali madame kajibu kiufasaha kuwa mkono mtupu haulambwi, not cool at all halafu wewe ni mmojawapo unapenda kuwasakama kuwatukana single moms badilika Nelson dunia duara ujue, badilika mkuu.
SawaToo late, yashaishaga hayo mkuu mi sijagombana wala sipendi kugombana, am just commenting, like how they comment, sasa wao wanatoa comment za kejeli na mimi natoa za kejeli suddenly its personal, come on nobody cares in the end.
Huyo boya tu.Mhh, samehe bure mamaa
JF women ni type nyingine ya hookers kumbe, km type za kisukari, wale wa road unaanza tu shin ngapi, hawa wa humu unaanza nao mbali msosi, wine, fudi, all that just to hit the [emoji78][emoji78], afu kutufanya tunatupa jiwe gizani sio fresh hatujui km tunalenga akina Shrek au Cinderella,
😎😎😎 sio weweHuo mstali wa mwisho kwamba ndo unanianika hapa juani kijanja? Mungu anakuona ujue mbona mm sijasema chochote,[emoji23]
Astaghafurulilah...!labda mngewauliza wale wanaume ambao wamewawin wadada huwa wanafanyaje...maana muda km huu anakuja mtu pm anakuambia niambie!uambiwe nn sasa!!!!!
Lord have Mercy!Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku
Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one
Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Wenzako ndo hawataki sasa. Wanataka kugegedwa / kuzalishwa / kuolewa... Salamu kamsalimie bibi yako... ebo!Muda nwingine tunawasalimu tu mkuu hatuhitaji mahusiano ya kimapenzi.
Babu wape wajukuu maujanjaAstaghafurulilah...!
Babu waambie ukweli kwanini tunaangukia kwa wazee.Wenzako ndo hawataki sasa. Wanataka kugegedwa / kuzalishwa / kuolewa... Salamu kamsalimie bibi yako... ebo!
Nyie madogo mmezubaa mpk michuchu inaangukia kwetu wazee wakati sisi nguvu zishaisha siku mingi. Mkiendelea hivi watahamishia mahaba kwenye madildo... mtabaka sabuni mpk mikuyenge yenu iote sugu.
Niko kaunta ya juu hapa Mapinga kwa hisani ya K Vant na Safari Lager
Mi nasubiria uangukie kwangu ili liwe fundisho kwa madogo wa JFBabu waambie ukweli kwanini tunaangukia kwa wazee.
Ntaanzia wapi sasa. Maana midomo yao imejaa zege na wallet zao zimejaa makaratasi. Ukiona coins zinawekwa kwenye wallet basi ujue hali ishakuwa si khali...Babu wape wajukuu maujanja
Ila mzee mbona hukuniambia yote haya siku zote nikajirekebisha.Wenzako ndo hawataki sasa. Wanataka kugegedwa / kuzalishwa / kuolewa... Salamu kamsalimie bibi yako... ebo!
Nyie madogo mmezubaa mpk michuchu inaangukia kwetu wazee wakati sisi nguvu zishaisha siku mingi. Mkiendelea hivi watahamishia mahaba kwenye madildo... mtabaka sabuni mpk mikuyenge yenu iote sugu.
Niko kaunta ya juu hapa Mapinga kwa hisani ya K Vant na Safari Lager