Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Nelson unazingua babu, afu si sifa ya kiumeni kugombana na wanawake heshimu wanawake basi hata huyo anayejiuza mtaani ujue na yeye anatoka jasho, anapigwa na baridi kuitafuta pesa muheshimu basi, afu comment ya madame mbona ya kawaida sana Daby kauliza swali madame kajibu kiufasaha kuwa mkono mtupu haulambwi, not cool at all halafu wewe ni mmojawapo unapenda kuwasakama kuwatukana single moms badilika Nelson dunia duara ujue, badilika mkuu.
 
Nelson unazingua babu, afu si sifa ya kiumeni kugombana na wanawake heshimu wanawake basi huyo anayejiuza ujue na yeye anatoka jasho kuitafuta pesa muheshimu basi, afu comment ya madame mbona ya kawaida sana Daby kauliza swali madame kajibu kiufasaha kuwa mkono mtupu haulambwi, not cool at all halafu wewe ni mmojawapo unapenda kuwasakama kuwatukana single moms badilika Nelson dunia duara ujue, badilika mkuu.
Too late, yashaishaga hayo mkuu mi sijagombana wala sipendi kugombana, am just commenting, like how they comment, sasa wao wanatoa comment za kejeli na mimi natoa za kejeli suddenly its personal, come on nobody cares in the end.
 
Sawa
 
JF women ni type nyingine ya hookers kumbe, km type za kisukari, wale wa road unaanza tu shin ngapi, hawa wa humu unaanza nao mbali msosi, wine, fudi, all that just to hit the [emoji78][emoji78], afu kutufanya tunatupa jiwe gizani sio fresh hatujui km tunalenga akina Shrek au Cinderella,

hehehhe mbona hookers!
 
Salaam sio tatizo salimia mara moja basi lakini sio ukiingia ukitoka salaam eiiiish salaam mara 10 kwa siku

Si una ndg vijijini watumie salaam radio free africa au radio one

Achana na wasalaam kuna wale wa maswali maswali mengiii vipi upo, umekula nini, uko wapi eiiish nilivyo mvivu sasa
Lord have Mercy!
 
Muda nwingine tunawasalimu tu mkuu hatuhitaji mahusiano ya kimapenzi.
Wenzako ndo hawataki sasa. Wanataka kugegedwa / kuzalishwa / kuolewa... Salamu kamsalimie bibi yako... ebo!

Nyie madogo mmezubaa mpk michuchu inaangukia kwetu wazee wakati sisi nguvu zishaisha siku mingi. Mkiendelea hivi watahamishia mahaba kwenye madildo... mtabaka sabuni mpk mikuyenge yenu iote sugu.

Niko kaunta ya juu hapa Mapinga kwa hisani ya K Vant na Safari Lager
 
Babu waambie ukweli kwanini tunaangukia kwa wazee.
 
Wenzako ndo hawataki sasa. Wanataka kugegedwa / kuzalishwa / kuolewa... Salamu kamsalimie bibi yako... ebo!

Nyie madogo mmezubaa mpk michuchu inaangukia kwetu wazee wakati sisi nguvu zishaisha siku mingi. Mkiendelea hivi watahamishia mahaba kwenye madildo... mtabaka sabuni mpk mikuyenge yenu iote sugu.

Niko kaunta ya juu hapa Mapinga kwa hisani ya K Vant na Safari Lager
Ila mzee mbona hukuniambia yote haya siku zote nikajirekebisha.

Ona sasa nishaachwa na wakati.
 
Back
Top Bottom