Kina dada wa JF tumechoka malalamiko yenu, tunaomba ufafanuzi wa hii hoja

Muda nwingine tunawasalimu tu mkuu hatuhitaji mahusiano ya kimapenzi.
Salamu gani za kufuatana pm!! Akinisalimia daby nikajibu niko poa nawr si umeona. Sasa "niambie" nayo salamu ya wapi? Nikikuambia konyo takuwà nimekosea?
 
Unafuata PM kuonyesha umeguswa na kutaka kujua kashindaje na anaendeleaje.

Niambie ni salamu nzuri kbisa na haitii mimba.
 
Konyo ndiyo nini?
 
Unafuata PM kuonyesha umeguswa na kutaka kujua kashindaje na anaendeleaje.

Niambie ni salamu nzuri kbisa na haitii mimba.
Tusichoshane kwakweli.

Inatia hasira hiyo salamu acha tu.
 
Naona siku hizi @Mo hafanyi kazi zake vizuri unatukosea heshima kaka zako.
Mo ndio nani? Shaachana nae mie, am singo lede nakula raha za dunia.
 
Wewe ndie unaenifaa. Hata mimi sipendi maneno mengi. Nakuambia hitaji langu moja kwa moja.

Ila wanawake hamueleweki, nikija moja kwa moja unaona kama nimekudharau kukuelezea hisia zangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…