Kwa masaa ya wapi?
Yes leo Jumamosi... khaa ninauchizi tena!
Hicho kiswahili fasaha... yako haijapanuliwa kwani? namaanisha PM
Nani huyo aliyeipanua?
Ushaharibika wewe acha waendelee wakuharibu tu.Nikajua utamwonya anakuharibia kaka
Ungeniambia ningemwonya!
Wewe utakuwa umelewa hata sikuelewi tena.
Mashaka yepi tena.... ! yawe mema tu
Huogopi hilo funzo nitalitumia kwa wadada wengine pm?