Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Wasaliti ni hatari kwa chama; hao wengine watakuwaje hatari kwa chama na hawajakisaliti? Kuwasamehe hao kumi na tisa halafu mkawarudisha chamani mtakuwa mmekiua chama mwanzo mwisho!! Hao wanawake wamekula nyama ya mataga hawawezi kuacha!!!!
Neno "usaliti" lina maana maalum ndani ya chadema.
Unaifahamu na unadhani kuna usaliti umefanyika so far?
 
Neno "usaliti" lina maana maalum ndani ya chadema.
Unaifahamu na unadhani kuna usaliti umefanyika so far?

Ukila "KIBUDU" maana yake umekula nyama isiyo"HALALI" Hao wanawake 19 wamekula kibudu!!! Ukikatwa mkia , unakua huna mkia haijalishi uko chama gani!
 
Kenge wewe
Juzi ulipost humu maneno ya chuki dhidi ya CDM, Leo unajifa ya kuchochea mgogo ambao haupo

TISs mnafeli Sana awamu hii
 
Tayari katika hilo kundi kuna mfarakano mkubwa kwani baadhi wanataka sana kurudi kundini na kukubali makosa yao. Kwanini hawa wafungiwe mlango kabisa na ilhali wako tayari KUTUBU!? 😳
It's a case by case then, not as a group.
Inawezekana kabisa kati yao kuna walioingizwa mitini bila kujua kilichotokea.
Sijui kama yule wa mahabusu alijua chochote kabla ya kufikishwa Bungeni. Lakini kwa mtu kama Halima Mdee?? Nitashangaa sana kama nilivyoshangaa baada ya kusikia huyu binti kalubuniwa. Ni vigumu sana kuelewa kilichompata hadi wakati huu niandikapo hapa.

Huenda akieleza kilichomtokea na kufikia huku alikofika..., hata sijui kama huyu na hard core wenzake wanasameheka!
 
Reactions: BAK
Mbio zote hizo mpaka vumbi nizakutuletea umbea! Bilashaka na wewe ni miongoni mwao covid 19
 
Tuliwakashifu sana akina Mdee, Bulaya na Matiko, ila kwa Mambo ya ndani ya hawa akina Newton na Minja huenda akina Mdee wakawa na nafuu.
 
Now you’re talking Mkuu. That was my point that some in this group should be given another chance if they are ready to accept their mistakes. Even Mdee she was very loyal to the party and its leaders for so long. She can be under probation let’s say for 24 months.
 
Hawapaswi hata kupewa nafasi nyingine, wamekisaliti chama wakati ambao chama kikiwahitaji, wananchi walitegemea kuwaona wanasimama nao kwa hali na mali, na mbaya zaidi wamesaliti wakati ambao watu wana maumivu ya matokeo ya uchaguzi,watu wamepoteza maisha kwa sababu yao na watu wamefanya kila aina ya sacrifice ili kuhakikisha chadema inasimama, No second Chance, misingi na misimamo ya chama iheshimiwe, wao sio wa kwanza kufukuzwa na hawatakuwa wa mwisho, chadema bado itaendelea kuwa strong
 
Mtende sawa ila mimi naamini mtu anapokosa na baadaye kuonyesha kujutia makosa yake na kuwa tayari kutubu uso kwa uso kujieleza basi sioni tatizo la mkosaji kusamehewa pamoja na ukubwa wa kosa husika.✌🏽✌🏽✌🏽✊🏽✊🏽✊🏽
 
Msamaha ni jambo zuri sana, lakini hapa tuangalie maslahi mapana ya Taifa pamoja na Chama, akina Halima waliweka maslahi yao mbele na sio maslahi ya chama

Ina maana hawawezi kuvumilia maisha ya uanachama wa kawaida na mapambano nje ya bunge?

Na kwa nini hawakusubiri ridhaa ya chama? Hii sio ndoa BAK useme tusameheane tulee watoto

Wananchi wenye imani na chadema walipata faraja baada ya chama kuchukua hatua za kuwafukuza akina halima la sivyo hata mimi singekua na imani tena na chadema

Halafu, kilichonihuzunisha ni kwamba Bulaya alikana mpaka mwisho, mipango yote ya usaliti wameifanya kwa siri na wameshirikiana na watesi wa wapinzani

Ndugai keeps attacking Mbowe and Chadema kwa sababu anapata nguvu kutoka kwa hao covid 19, mateso ambayo chadema imepitia kwenye utawala huu yametokana na ccm, sikutegemea kabisa kama mwanachama mwenye akili anaweza kuungana na watesi for her personal gain, akina halima wametesqa na utawala huu lakini wamepata nguvu ya kuungana nao kwa sababu wanataka pesa za ubunge

Hawafai kuwa viongozi wa chadema na hawaaminiki, who knows, labda watasamehewa halafu next year watapanda dau tena, chadema isilambe matapishi, isonge mbele na wale ambao wako tayari kukipigania chama kabla ya maslahi yao binafsi
 
Ngoja tusubiri tuone mwisho wa sakata hili.
 
Wewe hua huna mme mbona una washwa washwa sana?
 
Nakubaliana na wewe. Kama ilivyokuwa kwa wakina Kubenea.

Amandla...
 
Sasa wewe yanakuhusu nini?
 
Mkuu tusiwafungie mlango hawa wasaliti kama watakuwa tayari kuomba msamaha na pia kuikana rushwa ya viti maalum walivyohongwa na maccm, vinginevyo ni wa KUFUKUZA TU hawa.
Wasaliti huwa hawakai kwenye hilo li-chama.Bora kwenye machama mengine!!!Nimesoma historia,siyo mimi lakini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…