Kina Hilda Newton na Devotha Minja waanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha

Wewe lazima utakuwa mtu wa Mataga jinsi unavyotia uchonganishi!!
Ninaendelea Kusisitiza ya hawa Wawili Hilda na Devotha yawezekana tukianikiwa yao hapa tutaandamana kwenda Kuwaomba Radhi akina Mdee.
 

Nakubaliana na msimamo wako 100%. Hapo hapo napata taabu kuamini kuwa chama kitatenda haki kwa kuwaweka wote katika kundi moja; naamini kuna wengine humo wamejikuta wako katika kundi hilo bila kuelewa nini kilikuwa kinaendelea. Mfano ni huyu mama aliyetolewa mahabusu na kupelekwa kuapishwa, sidhani kama atatendewa haki kuwekwa kundi moja na hao waliokubuhu wakina Mdee na Bulaya!!! Itakuwa busara kama hawa watahukumiwa kutokana na kuangalia kila mmoja na kesi yake ingawa wametumia ujanja wa WOTE kuleta majibu sawa!!!

Wahojiwe na kutafakali kwa kina nani kati yao wako tayari kutubu kwa dhati na kukubali kufuata miongozo ya chama!! Wale viiongozi wao vinara na wanajulikana itakuwa sio busara kuwarudisha hata wakitubu kwani wamekwisha kula nyama ya NDUGAI hawawezi kuacha!!!
 
Ninaendelea Kusisitiza ya hawa Wawili Hilda na Devotha yawezekana tukianikiwa yao hapa tutaandamana kwenda Kuwaomba Radhi akina Mdee.

Hayo yatakuwa majungu ya wakina Mdee!! Maadam wamekubali kula nyama ya Ndugai basi tuone kama wataendelea!!!
 
I'll not go that far.

If CHADEMA takes that route, its turkey is cooked. The hardcore has to go.
 
Mama Amon tenaaaa.Haya mambo yatapita tu kama yalivyopita mengine.
Namfuatilia sana Hilda hasa Twitter na naona bado kidogo anahitaji kuwa focused na kuepuka mipasho.Uandishi wake wakati mwingine unanitia woga mpaka nahisi asije akawa afisa naniii.
Kwa Devotha Minja amekipigania sana chama chake lakini kama ningekuwa naingia kwenye vikao vyao kuna mama wa Serengeti naamini anaweza kuwaunganisha zaidi kuliko Minja (kelele za CDM na Ukaskazini zimekuwa nyingi na wakati mwingine tusizipuuze)
 
Barua ya kutoka Chadema kwenda Covid19 kufanana ni sawa kwasababu wote wametenda kosa moja ambalo linafanana halafu hapo source ni moja CHADEMA ila kutoka Cobid19 kwenda chadema haiwezekani zifanane coz zinatoka sources 19 haiwezekani wote wawe na mawazo sawa katika kujibu tuhuma zao.
 
Anachokifanya Hilda ndicho kilekile alikuwa akikifanya Mdee mara zote.

Ikitokea mgogoro kati ya CDM na wanachama wake basi Mdee ataubeba as if ni personal.

Nampongeza Hilda kwa kupita "mulemule".
 
Hakuna shida bora nyumba yenye paa
 
Reactions: BAK
Political prostitution ni afadhali ya pokitical PIMP, hawa akiana Hilda hiyo ni position wanayoistahili
 
Inanikumbusha Uchaguzi wa Serkali za Mitaa CHADEMA walienguliwa mamya kwa makosa yale yale kujirudirudia. Waingereza wangesema Chadema want to eat their cake and to have it at the same time, yaani sheria hiyohiyo waitumie kuwafukuza Mashujaa-19 lakini sheria hiyohiyo walilalamika Tume walipoitumia kuwaengua. Halafu naona sahihi ya Katibu Mkuu Mnyika ni mkorokorogo tu, imechorwachorwa tu, si sahihi makini inayoweza kubalika kibenki. I bet hawezi kuirudia, ndiyo maana anaikataa
 
Hapo kwenye underline.... Makosa yale yale, chini ya vifungu vile vile, maana yake majibu yanapaswa kuwa ni yale yale, kutokana na mshauri yule yule. Kuna tatizo wapi? Hilda Newton anachofanya ni kuiambia dunia kwamba ana access na siri za chama, na kwamba hajali kuzivujisha mitandaoni. Huoni tatizo hapo?
 
Chadema siwaelewi
Hawatambui matokeo ya uchaguzi,lakini mbunge wa Nkasi ameapa,madiwani nchi nzima wameapa
 
Anachokifanya Hilda ndicho kilekile alikuwa akikifanya Mdee mara zote. Ikitokea mgogoro kati ya CDM na wanachama wake basi Mdee ataubeba as if ni personal. Nampongeza Hilda kwa kupita "mulemule".
Hapo kweney mstari.... Ushahidi wowote tafadhali.
 
Unaongea kwa jazba wee mama, hivi kuna wauaji kama hilo genge la kikundi chako?
 
Unasemaje? Wewe?

Pengine nimuulize Erythro. kuhusu mstari huu. Siamini nilichosoma toka kwako!
Mkuu Mmawia alishamaliza kwa kusema hawa watu hawatarudishwa CDM hata wakija na muhuri wa mbinguni, sasa sijui @Erythrocytes anasemaje.
Kamati kuu ya CDM kutanikeni mapema kumaliza huu mchezo.
Binafsi hiki kitendo cha kila siku ni kujadili habari ya wasaliti 19 siipendi na imeshatuchosha.
Ni muda wa sasa wa ku'focus kwenye mambo mengine ya muhimu.
 
Ila walipoitwa kwenye kikao (cha kamati kuu) halali ili wajitetee hakuna hata mmoja aliyefika wala kutoa sababu za kutofika, hivi inaingia hakilini mtu akose kikao cha maamuzi then aje kwenye kikao cha rufaa?
Hii inamaanisha nini?
Mimi ninachojua hawa watu_19 wanatumiwa na dola right now kuihujumu CDM kwa hiyo hapa njia kuu ya kukiweka chama salama ni KUWAFUKUZA hao watu hata leo asubuhi.
 
Safi sana, you nailed it; hii huruma kwa hao wapuuzi sijui inatoka wapi, waliitwa wajitetee wakaingia mitini kisa wakidai usalama wao, kwanini wasingetafuta ulinzi binafsi if they really care?

Hii story about those bitches inatakiwa ife, let life goes on.
 
Wanapoteza muda hao wote hakuna wa kuwa Mwenyekiti wa BAWACHA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…