Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Amani iwe kwenu wote.....
Kina mama ambao mna watoto especially wa kike kwa ups and down za maisha mkatengana na baba zao na mnaishi na baba wengine wa kambo, hivi hawa wababa huwa mnawachukuliaje uhusiano wao na mabinti zenu???
Huwa mnawachukulia kama ambavyo baba mzazi anakua? Mnawakabidhi mabinti zenu 100% kwamba ni baba yake? Huwa hamna hofu kwamba hao sio biological father muda wowote watawageuka?? Anyway nna maswali mengi kichwani kwangu.....
Nimepata nafasi kadhaa za kuongea na watoto wa kike as mimi ni mlezi na mzazi kuna scenario zimekua zikijitokeza natamani kuchukua mic nipite nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa niwape Tangazo! Tangazo!
Scenario 1:
Huyu binti anaishi na mama na baba wa kambo na mdogo wake ambae ni mtoto wa huyo baba, ila mama anakua bize kuna siku harudi nyumbani (sikumbuki kazi ya mama) kuna siku mama alikua kazini hakurudi home, wanaishi chumba kimoja (sijui wananjunjana vipi saa ngapi na watoto hao 🤦). Usiku baba kahamia kati ya watoto kaanza kumpapasa huyu binti, japo hakumfanya kitu ila mtoto akashtuka na hakulala tena kesho yake akaja kusema baba kamshika. Mama kumuita kuongea nae akaside na baba ooh mme wangu anasali hawezi mxyuuu ovyoo. Possible alisema kumlindia heshima mme na kuficha aibu.
Scenario 2:
Binti anakaa na mama na baba wa kambo, ila kwa story mama aliwahi kuona uhusiano usio wa kawaida baina yao akaamua kuvunja uhusiano wakatengana. Kuongea na binti kuna vi element kwamba baba alikua anakula. Aliwahi kusema "waliachana kwa mambo yao ila kuna siku baba alikuja pale mtaani akamwambia mtu aniite nikaenda kuchukua hela na kurudi" na pia baba huwa anamvisit shuleni kumpa hela maswali kwanini aje usiku? Kwanini ampe hela? Kama nia njema kwanini hela asilete nyumbani???
Scenario 3:
Hii imenifanya nijiulize mengi. Huyu binti anajielewaaa yani ni mtoto ukiongea nae ni kama unaongea na mkubwa mwezio ndoto zake, mambo yake, vitu ambavyo mama anavifanya na yeye kama mtoto hapendi kwa kifupi anajitambua. Anaishi na mama na baba wa kambo. Ila kuna mambo yamekua yanaclick kichwani jinsi anavyohusiana na baba yake ingawa kwa jinsi alivyo mie sina shaka nae kwenye ujinga. Binti anacomplain mama ake mkali hamsikilizi hana muda nae etc etc sasa huyu baba amekua close nae kiasi kwamba mama asipokuwepo anapiga simu kwa kutumia simu ya baba anaongea kwa rahaaa comfortable kitu ambacho mama akiwepo hawezi. Kikubwa kuliko baba kamwambia afungue bank account kwa siriii awe anamuwekea hela (ina case kafariki) zitamsaidia mmmmh 🤔🤔🤔🤔 ni kulea tu kwa moyo?? Kweli??? Baba ana ukaribu sanaa na binti (nilihofu hata kuhoji zaidi kama kuna neno baba alishatamka) Nsamehewe kama nimewaza tofauti ila mie hainiingii.
Ujumbe wangu, kina mama kuweni karibu na watoto wenu muwasikilize wana mengi ya kuwaambia ila hamuwapi hiyo nafasi. Na hao wababa 🤔🤔 au basi..........