Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

Kina mama wenye watoto wa kike, ila mnaishi na baba ambao sio walio wazaa kuna ujumbe wenu hapa

Hisia mbaya ni utumwa. Nilisha kaa na single mama ana mtoto wa kike, yule binti alikuwa kama mie ndio baba yake.. na wakati mwingine mtoto anakuja kulala na mie baba wa mchongo ili kupata joto la baba ambalo hakuwai lipata kwa baba yake Og
Hapo mama akiwakuta anaona unatake advantage.
Yaani mtoto wa kambo hata kumshika kiuno ukimbeba unaweza unekana unamtomasa..🤣
 
very sad!!
Screenshot_20240720-192337~2.jpg
 
Hapo mama akiwakuta anaona unatake advantage.
Yaani mtoto wa kambo hata kumshika kiuno ukimbeba unaweza unekana unamtomasa..🤣
Ni kweli huwa inatokea hivyo, ila nashukuru nilikuwa naaminika sana na mama yake, hata wakati mwingine mtoto alikuwa anakuja tunalala wote. Mtot kulelewa na mazazi mmoja huwa ni maumivu sana, nilijifunza athari wanazopata watoto wa single parents
 
Kweli wahenga walisema, Tusioe Single Mothers.
Nimekubali

1.Ukiwa mkali huwapendi kisa sio wanao
2.Ukionyesha upendo unawataka
3. Ukiwa mkimya Unawaacha Ili waharibike
Ukisimama nchale ukikaa nchale.....

Tupo katika nyakati ambazo si salama kiuhalisia, ni muhimu kuangalia mambo katika angle zote.

Mie kaka yangu akija kwangu siruhusu hata watoto kuingia huko room aliko akae nao sebleni tu.

#usalamakwanza usijisikie vibaya kuimarisha ulinzi wa mtoto.
 
Migogoro ya ndoa ikitokea,watu wasuluhishwe kwa manufaa ya watoto.Single parent unaingiza wanawake hovyohovyo,watoto wanakuona,unakua unaleta athari kwa watoto... mbali na hivyo,kwa wewe unayeolewa,uwezekano wa mumeo kula mwanao ni mkubwa sana.Nimelea watoto shule,nimeambiwa mengi na watoto wa kike,kuhusu wazazi wao wa kambo.
 
Sijawahi ona ukisifia ,labda kesho, ila ni spana tu unapiga.
Matukio mabaya ni machache mno dhidi ya mwanamume tofauti na kinyume chake.
Basi endelea kuchimbua utazipata post nilizosifia,

mna matukio mengi ya kutisha wema ni wachache, tukianza na matukio ya ubakaji na ulawiti, Je hamna wanaume wanaobaka binti zao wa kuwazaa? Au wa kaka zao na dada zao? Itakuwa Huyasikiagi, haya humu je hamna wanaojisifiaga kula mama na mtoto?? Kuna mmoja anadindisha akibeba watoto wa kike miaka 3-5, list ni ndefu mafedhuli wapo wengi sana tena humu ni kwa asilimia kubwa sana
 
Back
Top Bottom