stakehigh
JF-Expert Member
- Aug 9, 2019
- 40,702
- 41,213
"Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka"
View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
Wanauzunguka UKUTA wa Yericko 😁naona wamekomaa kufanya vurugu
Mpaka uporomoke.Wanauzunguka UKUTA wa Yericko 😁
Wasiombe sub kwenye mafanikio.afadhali walioondoka na kujiunga na vyama vingine
Siku 7 za Biblia ni miaka 70 😁😁Mpaka uporomoke.
Na kinyume chake huwa ni sahihi kadiri ya matakwa ya BWANA.Siku 7 za Biblia ni miaka 70 😁😁
Tena wa kutumia vurugu na fujoKwa aina ya siasa za CCM za kutumia mabavu ya dola kuendelea kutawala uanaharakati hauepukiki kwani siasa za kistaarabu itakuwa ni kuisindikiza CCM milele iendelee kutawala kidhalimu.
Mbona unakuwa kasuku wewe, lini na wapi Chadema wamefanya vurugu? Siku zote ni polisi ndiyo wanawapiga, wanawateka na hata kuwaua wanachama wa Chadema. CCM ndiyo imekoma kuwa chama cha siasa na imekuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuiba kura ili iendelee kutawala.naona wamekomaa kufanya vurugu
"Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka"
View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
🤣 🤣 kwan wanaoanzisha maandamano wakina nanMbona unakuwa kasuku wewe, lini na wapi Chadema wamefanya vurugu? Siku zote ni polisi ndiyo wanawapiga, wanawateka na hata kuwaua wanachama wa Chadema. CCM ndiyo imekoma kuwa chama cha siasa na imekuwa genge la kigaidi linalotumia mabavu ya vyombo vya dola kuiba kura ili iendelee kutawala.
ndio unaweza kuwekeza kwa vijana mkaja na namna ya kufanya siasa za kutatua matatizo ya jamii nyie aata leo nkiwauliza kwann mnafanya vurugu amna majibu zaidi mtasema no reform no election, mngekua mnablend na vijana mngepata support kubwa sana, anyway mwisho wenu ndo huu vyama vingine vimekubali kufanya uchaguzi ngoja tuone chama kipya cha upinzani ni kipiNa wewe unaamini alichosema huyo mzee? Yaani bila kuwa na activity utafanya siasa? Ni combination ya kila kitu, campaign, ads, mandamano na hata town halls lectures, msiwe manwasikilza hawa watu wenye dimentia. Kuna thread hapa imeanzshwa inasema kuna profesa ambao hawjui kiingereza. Kama huyu mzee anavyosema siasa na activities haviendani lazima uwe political activist ili ufanye siasa
Kwa siasa ipi?Lengo la Chadema halikuwa kushika dola 😁