ndammu
JF-Expert Member
- Apr 21, 2017
- 5,424
- 6,327
Vurugu liko ccm maana katiba hawataki.naona wamekomaa kufanya vurugu
Vurugu liko ccm maana katiba hawataki.naona wamekomaa kufanya vurugu
Una nguvu ya kupambana na CCM kupitia harakatiKwa aina ya siasa za CCM za kutumia mabavu ya dola kuendelea kutawala uanaharakati hauepukiki kwani siasa za kistaarabu itakuwa ni kuisindikiza CCM milele iendelee kutawala kidhalimu.
"Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka"
View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM
Kwani kuna shida gani kuwepo. Sasahivi kuna vyama 19.ngoja tuone chama kipya cha upinzan baada ya uchaguzi