ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 5,424 Reaction score 6,327 May 19, 2025 #21 stakehigh said: naona wamekomaa kufanya vurugu Click to expand... Vurugu liko ccm maana katiba hawataki.
stakehigh said: naona wamekomaa kufanya vurugu Click to expand... Vurugu liko ccm maana katiba hawataki.
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 May 19, 2025 Thread starter #22 ndammu said: Vurugu liko ccm maana katiba hawataki. Click to expand... ngoja tuone chama kipya cha upinzan baada ya uchaguzi
ndammu said: Vurugu liko ccm maana katiba hawataki. Click to expand... ngoja tuone chama kipya cha upinzan baada ya uchaguzi
funaku JF-Expert Member Joined Oct 12, 2011 Posts 39,468 Reaction score 31,952 May 19, 2025 #23 CHIEF PRIEST said: Kwa aina ya siasa za CCM za kutumia mabavu ya dola kuendelea kutawala uanaharakati hauepukiki kwani siasa za kistaarabu itakuwa ni kuisindikiza CCM milele iendelee kutawala kidhalimu. Click to expand... Una nguvu ya kupambana na CCM kupitia harakati
CHIEF PRIEST said: Kwa aina ya siasa za CCM za kutumia mabavu ya dola kuendelea kutawala uanaharakati hauepukiki kwani siasa za kistaarabu itakuwa ni kuisindikiza CCM milele iendelee kutawala kidhalimu. Click to expand... Una nguvu ya kupambana na CCM kupitia harakati
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 May 19, 2025 #24 stakehigh said: "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM Click to expand... Na Lowasa ndiyo rejea ya maisha yako yote.Kuwa makini.Aliwaasa CHADEMA halafu akarejea CCM!
stakehigh said: "Lengo la chama ni kushika dola, uharakati chadema imeshavuka" View: https://www.youtube.com/watch?v=_tDosLdMiAM Click to expand... Na Lowasa ndiyo rejea ya maisha yako yote.Kuwa makini.Aliwaasa CHADEMA halafu akarejea CCM!
ndammu JF-Expert Member Joined Apr 21, 2017 Posts 5,424 Reaction score 6,327 May 19, 2025 #25 stakehigh said: ngoja tuone chama kipya cha upinzan baada ya uchaguzi Click to expand... Kwani kuna shida gani kuwepo. Sasahivi kuna vyama 19.
stakehigh said: ngoja tuone chama kipya cha upinzan baada ya uchaguzi Click to expand... Kwani kuna shida gani kuwepo. Sasahivi kuna vyama 19.
stakehigh JF-Expert Member Joined Aug 9, 2019 Posts 40,702 Reaction score 41,213 May 19, 2025 Thread starter #26 ndammu said: Kwani kuna shida gani kuwepo. Sasahivi kuna vyama 19. Click to expand... labda watakua na sera nzuri
ndammu said: Kwani kuna shida gani kuwepo. Sasahivi kuna vyama 19. Click to expand... labda watakua na sera nzuri