Kuna wanaopokea mshahara kwaajili ya hili. Ya nini tuwafanyie kazi yao?Duuuh. Kuna sehemu niliwahi pita miaka hiyo, kuoga ni majagi mawili tu.
Malalamiko yasiwe mengi sana toeni mawazo hao wahusika wachukue hatua gani ili tatizo la maji liishe Kwa miaka mingi baadae.
Laki na 20??? Hayo maji yana bluetooth??? Tabata wanatuletea kwa 20,000 liter 2000.Mkuu angalau hao ni siku tano tu, kuna watu wiki tatu sasa hamna maji. Hapa kwangu leo imebidi niagize maji lita 2000 kwa 120,000.
Najua kijana wangu atakuwa amejiongeza bei maana sipo lakini kwa maeneo yetu ni kawaida. Lita 400 huwa wanaleta kwa elfu 15 kama ikitokea yamekatika.Laki na 20??? Hayo maji yana bluetooth??? Tabata wanatuletea kwa 20,000 liter 2000.
Mungu wangu na ni masafi!Mkuu angalau hao ni siku tano tu, kuna watu wiki tatu sasa hamna maji. Hapa kwangu leo imebidi niagize maji lita 2000 kwa 120,000.
Unahisi hadi sasa hayo mawazo hawajapata? Leo makamu wa Raisi alikua hukoDuuuh. Kuna sehemu niliwahi pita miaka hiyo, kuoga ni majagi mawili tu.
Malalamiko yasiwe mengi sana toeni mawazo hao wahusika wachukue hatua gani ili tatizo la maji liishe Kwa miaka mingi baadae.
Ndio maji ni masafi.Mungu wangu na ni masafi!
Haya kuwa mpole endelea kusubiri Maji.Kuna wanaopokea mshahara kwaajili ya hili. Ya nini tuwafanyie kazi yao?
Kwahiyo wamepata sababu VP alikuwa huko?Unahisi hadi sasa hayo mawazo hawajapata? Leo makamu wa Raisi alikua huko
Temeke maji ya visima au?
Wangekuwa wajanja wangechimba visima vya dharura na kujaza mooo🤸Jana wakazi wa Kibaha hawakulala baada ya kupata mgao wao wa maji baada ya siku 5 nzima bila hiyo huduma... Baadhi walijaza mpaka vijiko kwakuwa hawajui yakikatwa yatarudishwa lini
Tulieni tupo tunaangalia uwezekano na sisi kurusha satellite angani kama wenzetuWangekuwa wajanja wangechimba visima vya dharura na kujaza mooo[emoji1732]
Kwa shekeli gani [emoji23]Wangekuwa wajanja wangechimba visima vya dharura na kujaza mooo[emoji1732]
Aione Mh. Shaka HamduUnadhani ni waziri ameshindwa kazi? NO !!
Ni mfumo mzima ! Ndio maana Tz sasa imekuwa ni "HAKUNA KANTRE.." Yaani:- hakuna maji, hakuna umeme, hakuna dawa mahospitalini, hakuna vitabu mashuleni, hakuna madarasa ya kutosha, hakuna waalimu wa kutosha, hakuna mikopo ya wanachuo kwa wakati, hakuna tena wanaojali............
Laki na 20??? Hayo maji yana bluetooth??? Tabata wanatuletea kwa 20,000 liter 2000.
Kama upo tabata sema upewe namba.Tabata ipi hiyo? Wanaleta na gari ama?