GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uongo ilo umesema wewe Dr Tulia ana kubalika kuliko kawaida
Angekuwa anakubalika asingetuma vijana kushambulia gari la Dr Seria. Na hii ni mara ya 2.

Kwanza Jumamosi walishambulia gari binafsi ya Dr Seria. Halafu mchana wakawatuma TAKUKURU kum- harass.

Kama Tulia angekuwa anakubalika asingetumia nguvu za dola kama TAKUKURU na vikundi vya vijana wavuta bangi.

Kama unamkubali wewe Mwachiluwi na familia yako sawa, lakini mbunge wenu hatakiwi
 
UTUKUYU NA UYOLE
 
Kosa letu kubwa CCM ni kuacha kusikiliza wananchi na kuendekeza rushwa/polisi(kikundi kile cha wauaji)/TISS (kikundi cha wauaji) kama msingi wa kushinda uchauzi
 
Tulia alishajua huu mgawanyo wa majimbo muda mrefu,hivyo alianza kuteka maeneo ya uyole miaka mitano iliyopita.....ni ngumu kushindwa.
Tulia hawezi kushinda bila msaada wa INEC, Polisi na TAKUKURU. Tusidanganyane
 

Huyu tulia anatajwa kuwa ndiye aliyesukwa mipango ya kumteka na kumwua Mdude. Hata Mdude mwenyewe, kabla ya kutrkwa kwake, aliandika kuwa amepenyezewa taarifa kuwa tulia amekuwa akifanya mipango ya kumteka.

Kwa mara ya kwanza Taifa letu linafunuliwa na kuoneshwa jinsi wanawake wanavyoweza kuwa mashetani wa kutisha.

Huyu tulia kama ilivyo kwa samia, wananchi hawawataki kabisa kwa kuzingatia uovu wao. Hawa ndio wamekuwa champions wa utekaji na mauaji kwa sababu ya uroho wa madaraka.
 
Ushahidi upi unao kwamba aliwatuma vijana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…