GE2025 Kinachoendelea Jimbo la Uyole: Mpinzani wa Tulia avamiwa na gari yake kuharibiwa

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Uongo ilo umesema wewe Dr Tulia ana kubalika kuliko kawaida
Hakuna mpumbavu wa kuchagua wanawake ...tulia awezi kuchaguliwa na wananchi hata asilimia 5% ya kura awezi kupata ndiyo maana yupo upande wa samia ...wote wasio kubalika na wananchi wanasimama na samia kwa sababu wanategemea uhuni kuwa fanikicha kubaki vitini siyo democracy
 
Inatakiwa akagombee kwao Rungwe maana huyu ni mtoto wa Mabonde au Bulyaga kati ya hizo sehemu mbili..
Tulia hawezi kuwa wa Mabonde.

Wanyakyusa wa Mabonde kina Mwalusanya na Mwambulukutu tunawafahamu vizuri.

Kuna minong'ono mikali mno kutoka kwa wazee wa Rungwe hata Kyela kuhusu ukoo wa huyu bidada.​
 
Hawa vijana sio waalifu kama waalifu wengine police wanafanya kazi gani mtu kama hakubaliki ndo unaenda kwake kuaribu Mali zake POLICE wafanye kazi yao hao ni waalifu
 
Mimi hapo ni home na sisi Wasafwa hatuwezi kutawaliwa na mnyakyusa wanazarau sana huyo Tulia kwanini ajaenda Busokelo uko
 
Kosa letu kubwa CCM ni kuacha kusikiliza wananchi na kuendekeza rushwa/polisi(kikundi kile cha wauaji)/TISS (kikundi cha wauaji) kama msingi wa kushinda uchauzi
CCM tunazingua wananchi tuwapelekee wagombea wanao kubalika Tulia akubaliki kwanza mtu mwenye zarau sana
 
Uongo ilo umesema wewe Dr Tulia ana kubalika kuliko kawaida
Kama unamkubali ni wewe tu. Alijikatia jimbo kumkimbia Sugu, kaja Uyole kumbe kadandia mtumbwi wa vibwengo.

Bila Polisi HATOBOI
 
Nawaamini mbeya huwa hamna kazi ndogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…