HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Ulaya watapigana bila ndege zao?Uko low sana kwenye huu mzozo,kwa taarifa yako Russia anapigana na ulaya nzima+Amerika ni zaidi ya nchi 40,
Ukraine ni uwanja wa mapambano tu, nothing else
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ulaya watapigana bila ndege zao?Uko low sana kwenye huu mzozo,kwa taarifa yako Russia anapigana na ulaya nzima+Amerika ni zaidi ya nchi 40,
Ukraine ni uwanja wa mapambano tu, nothing else
Ulichoandika kina mahusiano kweli na hoja iliyopo mezani au hujaelewa nini tunajadiliHafadhali Ukrain ina serikali imejipanga.
Lakini Afghanistan imewapa kichapo marekani mpaka wamekimbia wenyewe🤣🤣
Update urself..sidhani kama Ukraine ana capabilities za kushambulia ndani ya Russia.
..pia wafadhili wa Ukraine hawajaonyesha nia ya kumpatia makombora yenye masafa ya kushambulia ndani ya Russia.
..So far, Russia amechakaza Ukraine nzima. Na tunaelewa ndani ya Ukraine kuna vinu ya Nyuklia.
..Je, kwa muda gani vinu hivyo vitakuwa salama?
..Je, hakuna hatari kwa vinu vya Nyuklia vya Ukraine kudondokewa na makombora ya Russia kwa bahati mbaya, au kwa kudhamiria?
Marekani naye atafuataRasmi leo UK imethibitisha kuipa Ukraine makombola ya Storm Shadow ambayo ni ya masafa marefu.
How? Wamepandikiza wapi hizo sensors?Nimeona Marekani wamepandikiza Sensor Ukraine ili likitokea shambulizi la Nuke wanapata taarifa na aliyehusika
Wakitaka vita iishe inaisha mapema sana ila itabidi nao walinyweHoja yako nimeielewa na una hoja.
1. Kwamba NATO na USA hawataki kumaliza vita hii mapema ili wamdhoofishe kwanza Russia kiuchumi na military power taratibu.
2. Kwamba, USA na NATO hawataki kumpa Ukraine silaha nzito. Ukiwa unamaanisha kuwa USA na NATO wana silaha nzito kuliko Russia.
3. Hili la Putin kupinduliwa huenda ndo maana 9/5/2023 iliitangazia dunia kuwa anataka kupinduliwa na west akiwa na maana ya USA.
Huyo mtoto wa mama kalala kwenye makochi hapo kwa shemeji yakeUlichoandika kina mahusiano kweli na hoja iliyopo mezani au hujaelewa nini tunajadili
We kasome mtandaoniHow? Wamepandikiza wapi hizo sensors?
Atakuwa anasoma gazeti la uhuru na mzalendo tu and not else 😂😂😂Update urself
Umesema propaganda ndo Inaendesha vita Ukraine na siyo uhalisia. Cha ajabu na wewe umechangia ki propaganda badala ya facts, hapo ndo umeniacha hoi.Changamoto kubwa iliyopo kwenye hii battle ya Ukraine na Russia ni propaganda nyiiingi kuliko uhalisia
Ndio maana huwa nasema iko siku anaepigika atatoa tu mlio halisi
Haya maneno ya Urusi dhaifu sijui nini kwa mwenye akili timamu hawezi kuyatamka.Urusi angekuwa kaonekana dhaifu hadi sasa NATO wangekuwa wameshaenda kumchapa.
Mifano iko mingi tu ya nchi zilizoonekana dhaifu na zikaenda kupigwa na NATO.
Jiulize tu Urusi kawekewa vikwazo ambavyo hakuna nchi duniani inaweza kuwekewa na ikatoboa hadi sasa bila kuona milio mingi lakini bado wanaendesha vita na NATO hawajaenda kumpiga.Kabla haujanijibu jiulize tu je vile vikwazo akiwekewa France,England,Germany n.k je hadi sasa wangekuwa wanaendesha Vita na wanashikilia maeneo ya adui yao.
Kwa nini unipe kazi ya kutafuta taarifa wakati mwenye taarifa upo.We kasome mtandaoni
Andika Sensor USA Ukraine utaletewa taarifa
wacha kuota amka kumekuchaNope, Urusi angekuwa kwenye vita na NATO hata wiki asingemaliza. Anga lote lingefungwa.
Kwa kifupi NATO wameona udhaifu wa Urusi wemeamua kuimaliza indirectly. Wangeamua kuwapa kila kitu Ukraine basi vita ingeshaisha asubuhi na mapema.
Wanaozijia vizuri silaha za NATO wanatambua kuwa Ukraine kapewa basic necessities tu, kikubwa sana anachopewa na intelligence.
Kwanini unaweka mipaka ya jinsi ya kujadili vitu?1. Binafsi nimeshindwa kujua hoja yako ni nini hasa kwa kuzingatia hoja zilizopo mezani. Unaweza ukatupa maoni yako kwa kujibu maswali yetu.
2. Kwa mbali naona una hoja ya super power wa mchongo. Tupe ufafanuzi kwa nini siyo real super power kama ilivyodhaniwa, weka nyama utuelimishe zaidi.
1. Hoja hujadiliwa siyo nje ya hoja.Kwanini unaweka mpika ya jinsi ya kujadili vitu.
1. Kuhesabu idadi ya nchi Russia anazopigana nazo haileti maana sana(It doesn't hold water) kwani kinachoangaliwa hapo ni Objective achievement i.e. umeshinda au umeshindwa vita?Uko low sana kwenye huu mzozo,kwa taarifa yako Russia anapigana na ulaya nzima+Amerika ni zaidi ya nchi 40,
Ukraine ni uwanja wa mapambano tu, nothing else
pole......1. Hoja hujadiliwa siyo nje ya hoja.
Kutoka nje ya hoja ni sawa na kupiga mpira nje ya uwanja badala ya golini.
2. Tunataka kupata maoni ya kichambuzi kwa hoja iliyoko mezani na siyo propaganda na matusi au kejeli
Uliyeamka na usiye na usingizi wala tongotongo hebu tupe maoni na uchambuzi kwa hoja na maswali tuliyouliza bila propaganda za u pro-Russia au Ukraine. Sisi ndo tutafanya :facts check"wacha kuota amka kumekucha
Mkuu wewe russia huijui ungekaa kimya tu ili usionekane mjinga. Marekani peke yake haiwezi kusimama na russia katika uwanja wa medani. Na sijui kama unaelewa kwamba russia haijapeleka mwanajeshi wake hata mmoja ukraine kwenda kupigana, wanaojambisha nato ni wanamgambo tu kama huku kampuni za ulinzi, kule kuna majeshi binafsi na ni untrained cops ndo wanwahangaisha hivo nato. Ujeruman tayari wameshatoa statement ya kupingana na missio na mmarekani kuingia front ukraine, na ujerumani kwa kauli yake niloisikia leo basi hayuko upande wa marekani sababu anamtetea mrusi, na wametamka wazi marekani na nato ndo wanaleta chokochoko russia na wao ndo walilipua bomba la mafuta.Tangu Putin atangaze Special Military operational yake Feb 2022 dhidi ya Ukraine, wengi waliamini kuwa huo ndo ulikuwa mwanzo wa vita kuu ya tatu (World War III) hasa Marekani na NATO walipoweka wazi kuwa wataisaidia silaha Ukraine ili iweze kujilinda dhidi ya mvamizi (Russia).
Marekani alipozishawishi nchi za EU kuisaidia Ukraine, fikra za WW3 ndo zilikolea kwa watu wengi (Pro-Russia na Pro-Ukraine).
Kinachoendelea sote tunaofuatilia vita hiyo tumekiona na tunajua, sina sababu ya kueleza.
Waliokuwa wakiamini kuwa hiyo vita ni mwanzo wa WW3 walikuwa na sababu muhimu zifuatazo;
1. Waliamini kuwa Russia ni super power na kwamba ina uwezo wa kupiga nchi zote ikiwemo marekani.
2. Waliamini vita ya Russia na Marekani itakuwa vita ngumu sana na wengine wakaenda mbali zaidi kwa kusema kuwa Marekani akiingilia ugomvi wa Russia na Ukraine ndo utakuwa mwanzo wa Marekani kupigwa na kusambaratishwa na super power aitwaye Russia.
3. Pro Russia na hata viongozi wa Russia waliamini kuwa Russia ina uwezo wa kumpiga Marekani kwa makombora yake anayoyaitwa Intercontinental Ballistic missiles, Hypersonic missiles na Nuclear missiles. Eti Kwamba Russia makombora yake ni hatari sana na ya technology ya hali ya juu sana.
4. Sababu nyingine ni kwamba waliamini kuwa Russia ana air defense systems hatari sana wakiwa wanarejea S-300 na S-400 series. Kwamba anga la Urusi linalindwa sana huwezi kupenya na kwamba marekani hana air defense systems kama za Russia.
Katika kutafakari na kufanya assessment kuhusu hali halisi ya kinachoendela katika vita ya Ukraine na Russia. Tunahitaji kujua kama kweli watu walichokuwa wanafikilia kimekuwa kweli au kimeenda kinyume chake kwa kujiuliza maswali yafuatayo.
1. Je, bado tunaamini kuwa vita ya Ukraine na Russia itazaa vita kuu ya tatu ya Dunia (World War III) ?
2. Ni kweli Russia ni supper power kama watu walivyoamini kabla ya vita kuanza ?
3. Ni kweli Russia ana uwezo wa Kuipiga Marekani na nchi zingine Duniani na pengine kuitawala Dunia.
4. Ni kweli Russia and air defense systems za hatari kuliko marekani na nchi yoyote duniani na kwamba anga lake liko salama hakuna kitu cha kupenya kwenye anga lake?
5. Ni kweli Russia ana silaha nzito za kutisha na zenye kutumia technology kubwa kuliko marekani na nchi zingine?
6. Ni kweli jeshi la Russia liko imara sana kama ambavyo tuliamini mwanzo na kwamba wana mafunzo imara ya kutumia silaha za kivita?
Tupate maoni na tafakari yenu bila matusi na ushabiki usio na hoja yenye mantiki. Tusitawaliwe na u pro-Russia au Ukraine tukajikuta tumetoka kwenye hoja.