Kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine ndo kitazaa World War III (WW3)

Kinachoendelea kati ya Russia na Ukraine ndo kitazaa World War III (WW3)

Mkuu kwa jinsi wamagharibi walivo na .n..y..e..g.. mshindo, kama mrusi ni dhaifu basi kwa sasa mda mrefu wangeshakiwasha na kuondoka,ila mzee hii ngoma nzito mana juzi wenyewe wamekili kuzidi kuitenga urusi ni kujiumiza wenyewe,
💯🤝
 
Tuondoe kwanza personalities (personal attack) na jazba.

Hebu tusaidie kujibu dodoso la maswali tuliyouliza kwa kuwa umesema unauelewa vizuri sana huu mzozo na pengine hatima yake. Ukijibu kwa mtiririko wa maswali itapendeza kutoa uelewa zaidi.
mkuu una hekma sana
 
Waliamini kuwa Russia ni super power na kwamba ina uwezo wa kupiga nchi zote ikiwemo marekani.
Unaandika vitu gani mkuu? Hebu ficha ujinga wako

Hautakuja kusikia haya mataifa makubwa yakiingia frontline kupigana siku hizi vita ya mataifa makubwa ni ya kiuchumi na teknolojia
 
We kasome mtandaoni
Andika Sensor USA Ukraine utaletewa taarifa
Screenshot_2023-05-11-23-02-14-56_b7a3be9137b8795a1ea1ae6ca0205ae3.jpg
 
Pro Russia na hata viongozi wa Russia waliamini kuwa Russia ina uwezo wa kumpiga Marekani kwa makombora yake anayoyaitwa Intercontinental Ballistic missiles, Hypersonic missiles na Nuclear missiles
Kama ni vita vingepiganwa miaka ya Cold War lakini haikutokea kilichoiangusha Soviet Union ni kuporomoka kwa uchumi na mbinu za kijasusi za NATO.

Marekani na Urusi haitatokea zikapigana direct hata siku moja hizo ni story tu za vijiweni
 
Ni kweli Russia ana uwezo wa Kuipiga Marekani na nchi zingine Duniani na pengine kuitawala Dunia.
Maandiko yameshamtaja Marekani na Uingereza ndo mfalme wa mwisho kuitawala dunia. Kusema Russia kuitawala dunia ni kupingana na maandiko na haitatokea
 
Atumie nuclear hlf uwe mwisho wa vita ? Wazungu sio km ww , kuruhusu mtu atumie nuclear na kumkalia kimya kesho anapiga kwako so urusi akijichanganya tu imekula kwake

..nimesema upo uwezekano wa kutokea AJALI.

..Russia anarusha makombora mengi na kila mahali.

..vinu vya nyuklia vya Ukraine viko hatarini.
 
Unaandika vitu gani mkuu? Hebu ficha ujinga wako

Hautakuja kusikia haya mataifa makubwa yakiingia frontline kupigana siku hizi vita ya mataifa makubwa ni ya kiuchumi na teknolojia
Wewe naona kichwa chako kimejaa ujinga. Kwa nini umeshindwa ku quote hoja nzima una quote kakipande kwa lengo la kupotosha hoja.

Usingekuwa mjinga na mpumbavu angejikita kujibu hoja badala ya matusi. This show the level of stupidity you have.
 
Hebu tusaidie kutueleza kwa nini unasema Russia ana uwezo kuzidi marekani. Hebu jaribu kurudi kwenye hoja ili ueleweke zaidi. Jikite kwenye hoja. Hoja hujibiwa kwa hoja siyo kejeli.
Russia anauwezo wa kuangamiza Marekani vice versa is also true Kwa Sababu wote wanasilaha za maangamizi.ndo maana hawa jamaa hawawezi kupigana directly.
 
Wewe naona kichwa chako kimejaa ujinga. Kwa nini umeshindwa ku quote hoja nzima una quote kakipande kwa lengo la kupotosha hoja.

Usingekuwa mjinga na mpumbavu angejikita kujibu hoja badala ya matusi. This show the level of stupidity you have.
Habari ndio hiyo
 
Back
Top Bottom