Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Kwa nini usitafute mwalimu akufundishe mambo ya silabi/mwandiko.Awe wa darasa la awali itakuwa safi sana.Shame dame!Sasa Kwa magu tulikosa nn,maindi bei ,mchele,na vitu vingi vilikuwa bei poa Sasa barabarani kufanya nn awo wakenya njaa imeingia tumboni vitu bei bola wafe barabarani Ili watu wawajibike wasife njaa
Na kitakachomcost Ruto ni kuanza kusema maneno ya kejeli kwa mtangulizi wakeRuto ana Madaraka ila hana amani, yaani kwa ujumla Raila ndie mwenye sauti.
Waandamanaji hakuna mkulima hata mmoja, waweza kuta ni madaktari, nesi na wengineo, haiwezekani wote tukawa wakulima.Akili yako ina matatizoEti wamebeba masufulia, mabakuki na vijiko Sasa sijui wale chakula alicholima nani 🤣🤣
Piga spana hao mda wa kuandamana wangeenda shamba..
Bado Tanzania Kuna wale wajinga utasikia mahindi bei Juu,kalime wewe uuze bei chini unataka nani akulimie upange bei?
Walishaumwa na nyoka hao, machungu ya kutumia nguvu wanayajua sana.Bora hata Kenya polisi wametoa sababu ya kwanini maandamano ni haramu. Tanzania polisi wanakuambia atakaye andamana atapigwa na kuchaakaa. Nchi ya hovyo kweli.
Jamaa naye ni dhaifuHahaha juzi kati hapa ngo ya mbowe ilishabikia hahaha baada ya ruto kusema eti atayalinda maandamano. Hebu wayaitishw hapa bongo wapate kichapo cha mbwa koko
Unaifahamu nguvu ya Raila Odinga kweli? William Ruto ndiyo ana uwezo wa kumuua? Kama alishindwa Daniel Arap Moi, basi futa kabisa kichwani mwako jambo hilo kutokea.
BujeeeKila Jumatatu Ni Maandamano Mpaka....
Ngoja watandikwe,salary wanapeleka wapi?Waandamanaji hakuna mkulima hata mmoja, waweza kuta ni madaktari, nesi na wengineo, haiwezekani wote tukawa wakulima.Akili yako ina matatizo
Hilo haliwezekaniRutto akubali kuunda serikali ya mseto na Raila, migogoro yote itakwisha
Mwanaume alipiwi , endelea kulelewaWakati huo wewe ukiwa wapi?Chukua nafasi yao.
Kwa hiyo unataka wapinzani wakulee na kukulipia?Utakuwa mlemavu wa akili.Mwanaume alipiwi , endelea kulelewa
Hakuna Rais alikuwa katili kama Mzee Moi,Ruto cha mtoto na bado alimshindwa Raila.If you can connect the logic utaelewa.Kenya inatafunwa na ukabila na hata Ruto analijua hilo na mwisho wa siku atabow down ili aweze kuongoza kwa amani kama Marais waliomtangulia.Sema awamu hiii nazani Raila ujanja ujanja wakee unatakuwa umefika mwisho
Kwa Ruto hapa ata gonga mwamba hichi ni chuma
Wewe shusha hoja zako mambo ya mwingine anaandikaje hayana nafasi,mradi umemsoma na kumwelewa.Jadili mada mwache na makosa yake ya uandishi,hayapunguzi kitu katika kile alitaka kukiwasilisha.Kwa nini usitafute mwalimu akufundishe mambo ya silabi/mwandiko.Awe wa darasa la awali itakuwa safi sana.Shame dame!
Sina kawaida ya kuvumilia ujinga.Haujaoga?Hakuna kula wala kulala.Oga kwanza.Wewe shusha hoja zako mambo ya mwingine anaandikaje hayana nafasi,mradi umemsoma na kumwelewa.Jadili mada mwache na makosa yake ya uandishi,hayapunguzi kitu katika kile alitaka kukiwasilisha.
Mnakujaga kufanya nini hapa kama mna thin skinned kwenye kuhimili mijadala?Sina kawaida ya kuvumilia ujinga.Haujaoga?Hakuna kula wala kulala.Oga kwanza.
Tazama.Hapa si sehemu ya kuandika utumbo-utumbo tu.Ni sehemu ya kusahihishana pia.Mfuatilie.Atabadilika.Refer😛didy.Mnakujaga kufanya nini hapa kama mna thin skinned kwenye kuhimili mijadala?
Hakuna madhaifu yoyote isipo kua shetwa kaamua kuwatumia hawa watuNadhani kuna madhaifu anayaona, ndiyo maana anataka aingie ikulu ili akarekebishe
Unajipa kazi isiyokuhusu bure.Maana hata wewe siyo mzuri ki uandishi ki hivyo kama wengi wetu tu hapa tulivyo.Unatolea mfano wa Pdiddy wakati tunaomfahamu kitambo tunajua huwa anafanya makusudi kuandika kwa style ile na huwa akiamua anaandika vizuri sana tu.Any way am out of this discussion.Acha nijielekeze kwenye mada husika.Tazama.Hapa si sehemu ya kuandika utumbo-utumbo tu.Ni sehemu ya kusahihishana pia.Mfuatilie.Atabadilika.Refer😛didy.
Afadhali umehitimisha kwa kuanza kujitambua.Unajipa kazi isiyokuhusu bure.Maana hata wewe siyo mzuri ki uandishi ki hivyo kama wengi wetu tu hapa tulivyo.Unatolea mfano wa Pdiddy wakati tunaomfahamu kitambo tunajua huwa anafanya makusudi kuandika kwa style ile na huwa akiamua anaandika vizuri sana tu.Any way am out of this discussion.Acha nijielekeze kwenye mada husika.