Kinachoendelea Sri Lanka, Tanzania tushukuru kuwa na Rais Samia

Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni.
Nimesoma mistari mi 5 tu nikagundua unajistukia kuwa yanaweza kumkuta samia kama hayo ya sri lanka
 
Hata kama Mwendazake angekuwepo najua shida nyingi za Kiuchumi zingetokea ila kwa alivyokuwa na roho mbaya angewafyeka wote ambao wangethubutu kuandamana..

Na mambo ya kuandamana hapa Tzn ni ngumu kwa sababu hatuna historia ya kudai vitu Kwa nguvu..

Hao Sri Lanka wamepigana vita vya wao Kwa wao Kwa miaka 20 iliyopita na hivyo familia ya Gupta ndio walishinda kwenye Hiyo vita..

Bongo tungenyooka na balaa maana nakumbuka awamu ya Mwendazake mafuta ya diesel/petrol yamewahi adimika kama mara 2 Hivi,sukari ndio ilikuwa kila mwaka na saruji iliadimika 2020..

Kwa uchumi wa hivyo ule wa Mwendazake ndio angekuwepo sasa Hivi Nchi ingekuwa imeshaharibika zamani Sana.
Mtu kafa hamumu achi ndiyo kawa gauge ya kupimia utendaji wa Marais eti angekuwapo uchumi ungeharibika kuliko leo:sisi akili hatuna;
 
Kufa sio kigezo maana aliharibu sana na Wafuasi wake wanajaribu kumfanya kuwa gage ya uongozi sasa lazima kuweka mizania sawa..

Yeye as an individual kafa ila matendo yake na tabia zake aliziambukiza kwa watu so lazima atajadiliwa kwa mbaya na Kwa mazuri.
 
Chini ya Mwendazake Nchinilokuwa kwenye balaa kubwa la kiuchumi..

Kama Takwimu hutaki kuzikubali huwezi tumia akili yako ndogo kufikiria kwamba kwa nini Mwendazake alizuia kutoa Takwimu za Uchumi tofauti na za kwake?

Huwezi hata kufikiria kidogo kwamba Rais Samia answezaje kisukuma sekta zote za Uchumi zikiwemo zile zilizotelrkezwa na Mwendazake kwa visingizio vya kujenga sgr kama ajira,salaries,kilimo,maji nk?
Asante kwa kunihukumu kuwa na akili ndogo...sijali....wenye akili kubwea kama wewe huwa hawaendeshwi na hisia bali takwimu na ushahidi....haya lete takwimu zako za uchumi kudorola ili "kuzodoa" zile za Hayati Magufuli...na maanisha leat ushahidi wa takwimu kuonesha kuwa Magufuli alikuwa anadanganya kuhusu takwimu za ukuaji wa uchumi!
 
Mimi sio wewe,kama unajua kusoma basi tupe jibu hapa 👇
 
Attachments

  • Screenshot_20220628-202202.png
    Screenshot_20220628-202202.png
    63.9 KB · Views: 6
  • Screenshot_20220628-202311.png
    Screenshot_20220628-202311.png
    63.7 KB · Views: 6
Mimi sio wewe,kama unajua kusoma basi tupe jibu hapa 👇
Ni kweli mimi sio wewe... mzigo wa kuthibitisha tuhuma uko kwa nayetuhumu, wewe ndio unatuhumu kuwa uchumi ulishuka wakati wa Magufuli na hapa umeonesha kushuka na kupanda kwa matumizi ya cement...sasa vipi tena mimi ndio nilete jibu! wewe uliyeleta ushahidi ndio unapaswa kuonesha ukweli wa ushahidi huo, vipi bwana akili kubwa!
 
Hii nchi imepata pigo sana kupata uyu mtu kuna hatri mwkaa huu bei za vyakula ikawa juu kuliko vipindi vyotee nilivyowahi kushuhudia maishani mwangu maana kama kipindi ichi cha mavuno Ila bado bei za vyakula haijatulia basi kuna hatari sana Aya mambo ya kuendeleza majirani ili kufanya nawwo biashara itatuumiza snaa Kwa Hali ilvyo ni kama raisi hajali shida na malalamiko ya wananchi wake, Kasi ya kukopa imekuwa kubwa kuliko kawaida yeye na magufuli wamekopa sana kuna hatri kubwa mbeleni Ila sema ndyo ivyo wlaamba asali wanampanba kichwa
 
Ni kweli mimi sio wewe... mzigo wa kuthibitisha tuhuma uko kwa nayetuhumu, wewe ndio unatuhumu kuwa uchumi ulishuka wakati wa Magufuli na hapa umeonesha kushuka na kupanda kwa matumizi ya cement...sasa vipi tena mimi ndio nilete jibu! wewe uliyeleta ushahidi ndio unapaswa kuonesha ukweli wa ushahidi huo, vipi bwana akili kubwa!
Wewe ni kajinga,nimekupa ushahidi ,una lingine la kuuliza?

Ndugu yako yule si alisema ameacha kuajiri na kupandisha madaraja,kafukuza watumishi nk kwa visingizio vya kujenga sgr naadaraja ,vipi saizi iwezekane kujengwa vyote hivyo na ajira juu?
 
Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni.

Alikuwa akikopa mikopo mikubwa isiyo na unafuu na kufanya mambo ambayo yameifanya Sri Lanka kuwa na deni kubwa mpaka kufikia hatua ya kushindwa kuhudumia wananchi wake.

Kwa sababu ya janga la COVID-19, mapato kutoka kwa watalii wa kigeni na pesa zinazotumwa kutoka nje zilishuka. Wanauchumi walionya kuwa Sri Lanka huenda isiweze kulipa deni lake la nje na wakahimiza serikali kuwasiliana na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).

Baada ya kuchaguliwa mnamo 2019, Rais Gotabaya Rajapaksa alipunguza ushuru, ambayo ilinyima serikali mapato yanayohitajika sana.

Kama Rais ni vyema ukawa unafanya maamuzi huku ukiangalia muelekeo wa nchi yako. Na hapa ndiyo maana nasema Tanzania tushukuru kuwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwani mikopo inayochukuliwa ni ya nafuu na pia inatumika kwenye mambo muhimu ya maendeleo ya taifa huku ikiendelea kutengeneza fursa na kuweza kupata fedha za kurudishwa mikopo hiyo.

Mnaolalamika kuhusu tozo na ushuru, kumbukeni umuhimu wake katika kuiendesha serikali. Makusanyo ya tozo unaiongezea serikali kipato na kuiwezesha kulipa madeni.

Rais Samia Suluhu amekuwa akiweka wazi umuhimu wa tozo na kufafanua maana ya mikopo hiyo na namna inavyotumika.

Pia hapa tunaweza kuona dhahira umuhimu wa Rais kuwaachia watendaji wake kutekeleza majukumu yao na kujipunguzia majukumu. Rais Samia anafanya kazi zake, Waziri Mkuu naye anafanya majukumu yake, vivyo hivyo wasaidizi wote wa Rais mpaka wabunge.

Lakini kwa serikali ya Sri Lanka, Rais ndiye mkuu wa nchi, serikali na jeshi nchini Sri Lanka lakini anashiriki majukumu mengi ya kiutendaji na waziri mkuu, ambaye anaongoza chama tawala bungeni jambo linalofanya aingilie majukumu ambayo sio yake na kunyima viongozi kutekeleza kazi zao kwa ufasaha.

Wakati tukiiombea Sri Lanka, tukumbuke pia kumuombea Rais wetu na pia kumshukuru Mungu kwa kutupa kiongozi Bora na sio bora kiongozi.

Tanzania ni salama na Samia. KAZI IENDELEE
MATAHIRA KAMA WEWE KATIKA TAIFA LETU MNAPASWA KUUAWA
 
Wewe ni kajinga,nimekupa ushahidi ,una lingine la kuuliza?

Ndugu yako yule si alisema ameacha kuajiri na kupandisha madaraja,kafukuza watumishi nk kwa visingizio vya kujenga sgr naadaraja ,vipi saizi iwezekane kujengwa vyote hivyo na ajira juu?
Pole sana ndugu akili kubwa kwa kupunguzwa kwa utumishi hewa! hakuna ushahidi ulioleta wa kuthibitisha kuwa takwimu zinaonesha uchumi ulidorola wakati wa kipindi cha mwendazake, ulichoambatanisha ni takwimu za wafanyabiashara ya cement! sio uchumi kwa ujumla..mimi nilifikiri kwa akili yako kubwa ungeleta takwimu za World Bank au IMF !
 
Wewe ni kiazi WA kienyeji huko Usukumani..

Hicho nilichokwambia na kuonyesha ni mavi yako sio Takwimu?

Kwa hiyo walioandika hizo Takwimu ni mimi au? Stupid,najichosha kujadiliana na mpumbavu mwenye chuki ambae hayuko tayari ku face uhalisia..

Kwa taarifa yako mtaendelea kuaibishwa kila siku,mwaka mmja wa ssh amefunika miaka 5 ya Mwendazake..
 
Asante kwa kuleta CV yako....ni kama umejiangalia kwenye kioo uliyoandika hapa yana reflect ulivyo....nashukuru kwa kunipunguzia muda wa kubishana na nawe mwenye chuki na hasira za kuondolewa kazini kwa kugushi vyeti!
 
Ogopa sana taifa ambalo lenye bora kiongozi na sio kiongozi bora. Rais wa Sri Lanka alikua bora kiongozi, yeye alikuwa anafanya mambo kuwafurahisha wananchi bila kuangalia madhara yake hapo mbeleni.

Alikuwa akikopa mikopo mikubwa isiyo na unafuu na kufanya mambo ambayo yameifanya Sri Lanka kuwa na deni kubwa mpaka kufikia hatua ya kushindwa kuhudumia wananchi wake.

Kwa sababu ya janga la COVID-19, mapato kutoka kwa watalii wa kigeni na pesa zinazotumwa kutoka nje zilishuka. Wanauchumi walionya kuwa Sri Lanka huenda isiweze kulipa deni lake la nje na wakahimiza serikali kuwasiliana na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF).

Baada ya kuchaguliwa mnamo 2019, Rais Gotabaya Rajapaksa alipunguza ushuru, ambayo ilinyima serikali mapato yanayohitajika sana.

Kama Rais ni vyema ukawa unafanya maamuzi huku ukiangalia muelekeo wa nchi yako. Na hapa ndiyo maana nasema Tanzania tushukuru kuwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwani mikopo inayochukuliwa ni ya nafuu na pia inatumika kwenye mambo muhimu ya maendeleo ya taifa huku ikiendelea kutengeneza fursa na kuweza kupata fedha za kurudishwa mikopo hiyo.

Mnaolalamika kuhusu tozo na ushuru, kumbukeni umuhimu wake katika kuiendesha serikali. Makusanyo ya tozo unaiongezea serikali kipato na kuiwezesha kulipa madeni.

Rais Samia Suluhu amekuwa akiweka wazi umuhimu wa tozo na kufafanua maana ya mikopo hiyo na namna inavyotumika.

Pia hapa tunaweza kuona dhahira umuhimu wa Rais kuwaachia watendaji wake kutekeleza majukumu yao na kujipunguzia majukumu. Rais Samia anafanya kazi zake, Waziri Mkuu naye anafanya majukumu yake, vivyo hivyo wasaidizi wote wa Rais mpaka wabunge.

Lakini kwa serikali ya Sri Lanka, Rais ndiye mkuu wa nchi, serikali na jeshi nchini Sri Lanka lakini anashiriki majukumu mengi ya kiutendaji na waziri mkuu, ambaye anaongoza chama tawala bungeni jambo linalofanya aingilie majukumu ambayo sio yake na kunyima viongozi kutekeleza kazi zao kwa ufasaha.

Wakati tukiiombea Sri Lanka, tukumbuke pia kumuombea Rais wetu na pia kumshukuru Mungu kwa kutupa kiongozi Bora na sio bora kiongozi.

Tanzania ni salama na Samia. KAZI IENDELEE
Wenye akili tunamuelewa sana Samia, wanaolalamika Ni wafuasi wa mwendazake wasio na akili
 
Sijaona point ya maana hapo Zaidi ya kushukuru, Afu pili maelezo yako yanaonyesha Tanzania imewahi kupitia bora kiongozi hapo nyuma?![emoji848] Kuwa makini na uhakika wa kile ukisemacho, na hakikisha unaweza kujibu ndani ya kile unachokieleza kwa Umma pindi ukikutana na MTU wa atakaye hoji juu ya hoja zako
 
Back
Top Bottom