FlyingDutchman
JF-Expert Member
- Nov 17, 2022
- 459
- 862
- Thread starter
-
- #41
Thanks for being such a bright mind, and that is exactly the intent of my message.In short analalamika Kuna mdada hapo TIA amefukuzwa chuo kwa sababu ya examination irregularities huyu mtoa mada kushaurii jicho la mwewe likamulike hapo TIA Kuna something fishy kwenye ufukuzwaji wa hao wahanga..
Hata Mimi najua pia hayo makosa nimeyafanya kwenye uandishi wangu, sababu sija proofread nilichokipost , the thing is my phone has this autocorrection thing, but I Hope you got the intent of my message.Siyo kukisiri>kukithiri
Bali kukisiri » kukithiri
Siyo ela >hela
Bali ela » hela
Katika alama za kimahesabu, umetumia vibaya alama hizo
Thank you 👍Thanks for being such a bright mind, and that is exactly the intent of my message.
Thank you.
It is still possible that you are one of those lectures trying to skapegoat us in here! Why should we listen to you?Wasomi wa siku hizi shida sana.
Unaandika io au izo na huoni kabisa kama kuna shida!
Hata hivyo bado sio rahisi kwa lectures wote waungane kumfukuza mwanafunzi kwa kesi ya uongo. Tumesikia upande wako nina hakika kuna la kusikia kutoka kwa lectures pia.
Kama hufanyi mambo ya kisomi hapo TIA unaingilia nini ishu za wanafunzi na waalimu wao? Si uendelee na mafagio yako huko mabafuni kama ni cleanerIt is still possible that you are one of those lectures trying to skapegoat us in here! Why should we listen to you?
Afu mbona mmenipa title ya usomi Even though hamjui Mimi ni mtu wa aina Gani, elimu yangu ,na Mambo kibao ?
Kakata rufaa lakini kesi yake imechukuliwa very lightly, haijasikilizwa kabisa. All they said to her is "unatupotezea muda"Akakate rufaa uongozi wa wanafunzi si upo
Umeona hesabu hapo mjinga mkubwa wewe.Siyo kukisiri>kukithiri
Bali kukisiri » kukithiri
Siyo ela >hela
Bali ela » hela
Katika alama za kimahesabu, umetumia vibaya alama hizo
Acha ujinga wewe , Mimi nimeuliza swali kama huwezi kujibu acha.Kama hufanyi mambo ya kisomi hapo TIA unaingilia nini ishu za wanafunzi na waalimu wao? Si uendelee na mafagio yako huko mabafuni kama ni cleaner
I am also mathematician as well, and if you think what you wrote there is mathematics!Umeona hesabu hapo mjinga mkubwa wewe.
tuachane na yote,Wao wanalipwa ukireport kesi kama hii something not below 500k I think Sasa , they are doing things recklessly kisa pesa, na hawana ushahidi wowote strong kumdisqulify
What's wrong with you people, I earned my degree 15 years ago, don't try to make make generalization.Madogo hamsomi kazi kuingia na vibomu kwenye Chumba cha mtihani.
Rudi tu nyumbani mdogo wetu.
Sawa Mathematician nenda kamalizie usafi vyooni achana na issue za wanafunzi na walimu wao.I am also mathematician as well, and if you think what you wrote there is mathematics!
Well it's because you are a one big damn stupid.
HahahahhahaaUmeona hesabu hapo mjinga mkubwa wewe.
Nlikuwa najifurahsha tu mkuuHata Mimi najua pia hayo makosa nimeyafanya kwenye uandishi wangu, sababu sija proofread nilichokipost , the thing is my phone has this autocorrection thing, but I Hope you got the intent of my message.
Asante kwa kuuliza.tuachane na yote,
Naomba kujua hiyo karatasi ilifikaje hapo na kwanini ahusishwe huyo?
This shows how much nincompoop you are. If you were wise a little to the level of the hyena you could have at least keep quite. But the hyena is wiser than you. Kilaza mkubwa, huna elimu na kiingereza hujui wala kiswahili. Jinga linadesa linakimbilia huku looking for sympath.Seems like the name you chose as your pseudo name,it is,in unfortunately way ,a pure reflection of your soul.
Naomba nikujibu pia ,not in a good way of course
You seems like these little coward who hide behind their keyboard, who criticize everything on their paths, and in return sit and do nothing.
Wherever you are in this world,trust me no matter how big your eagle is, I will humble you, and my words of truth will haunt you to the inch of the ocean, I wrote something which is infact,yet right now is going on at TIA regarding the wrong conviction of our young brothers and sisters who their parents works so damn hard , sometimes day and night just to see these kids succeed, but poor systems and people who care less are trying to snap the big dream out of their future because of something called wrong conviction,and inability of stuff members to undo their wrong decision, and stupid, heartless people like you , all you care about is my very small mistake I did while delivering this message?
Ivi nani kawaroga , Hawa watoto wanaumia kweli and all you care about ni how bad nimeandika bandiko langu, what kind of people are you
Poleni sana kwa Tanzania ya sasa kama huna vitu vitatu hutokuwa na Chako hata udaije 1. Pesa 2. Connection 3. UchawiWasalaam ndg zangu
Chuo Cha TIA Kuna uozo unaendelea ambao sio mzuri
Kuna wanafunzi almost 20+ kesi zao zimetoka kusikilizwa siku so nyingi lakini there is something fishy maana kesi kama hizi TIA zimekithiri sana na NACTVET ipo kimya.
For instance kuna mwanafunzi amekuwa disqualified sababu ya kipande cha karatasi ambacho siku ya mtihani kilikutwa within her viscinity( karibu na alipo)
Don't get me wrong msomaji sio kwenye booklet yake au akiwa nacho, at her viscinity.
Cha kushangaza zaidi kilichoandikwa kwenye karatasi sicho kitu kilichokuwa kwenye mtihani siku hiyo and wanarely on hand writing kwa kuangalia kwa macho kuprove kuwa it belongs to her. No biometric system yoyote imetumika kuprove kuwa ni chake.
Just imagine hawa ndio wasomi tulionao.
Kwenye vikao viwili lecturers wamemuhukumu kwa kitu hajafanya even though ameomba ushahidi wa camera utumike sababu chumba alichokua anafanyia mtihani Kuna camera, they didn't listen her at all.
Mbaya zaidi kuna voice note za malecturers and some university student leaders admitting kuwa wanachomfanyia huyu mtoto wa kike sio sawa, kisa wachache washapiga pesa imekuwa ngumu kwa wao ku-undo their wrong decision.
Mimi ni Moja ya watu ambao nipo karibu sana hapa TIA na trend ya kesi kama hizi zimekithiri
My take principle wa TIA it's time you take this matter on hand na ufatilie kwa ukaribu jambo hili, unless umeapprove kinachoendelea .