Extra focus
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 662
- 1,297
Hili la kulipwa limeanza lini mkuu kwenye quality assurance?Wao wanalipwa ukireport kesi kama hii something not below 500k I think Sasa , they are doing things recklessly kisa pesa, na hawana ushahidi wowote strong kumdisqulify
Kichefu chefu unaandika Kinyaa kabisa. Huna akili una desa ukibanwa unakimbilia huku kutaka sympathUkweli ni kwamba wewe ndio kichechefu , ni mtu mwenye nafsi inayotia kinyaa, sababu I don't think that you can even sieve between right and wrong.
And all people can see that I am the one trying to do the honest thing here, and you are the bad guy who is trying to stop goodness from happening
Take it from me , ukimya una faida zake, kheri kukaa kimya kuliko kujaribu kuzuia juhudi za mtu , ambae hata MUNGU pia anajua anafanyia jambo sahihi.
Unajiuliza na unajijibu mwenyewe ili ujifurahishe,endelea utakuja kujiingizia jiti la matako eti unajifurahisha.Nlikuwa najifurahsha tu mkuu
You are very irrational.Kichefu chefu unaandika Kinyaa kabisa. Huna akili una desa ukibanwa unakimbilia huku kutaka sympath
Mujomba umemalizaItakuwa alimkazia lecturer
Ivi kwanza we huogopi?Kichefu chefu unaandika Kinyaa kabisa. Huna akili una desa ukibanwa unakimbilia huku kutaka sympath
Autocorrect ndo inaandika ela badala ya Hela?Hata Mimi najua pia hayo makosa nimeyafanya kwenye uandishi wangu, sababu sija proofread nilichokipost , the thing is my phone has this autocorrection thing, but I Hope you got the intent of my message.
Hakuna wahanga fuateni Sheria.Naomba kama Kuna wahanga wa hili jambo hapa jukwaani wajitokeze ili tupate experience zaidi ya hili swala.
Ninachofaham ni kuwa kabla ya mtihani kuanza msimazi hutoa tahadhari kwa kila mmoja kuwa aangalie kama ana karatisi au kitu chochote kisichorusiwa either mfukoni, kwenye meza au jirani.Asante kwa kuuliza.
Hiyo karatasi ilikua chini ya dawati pembeni kabisa na alipo ,umbali wa almost cm 70-100 kutoka alipo kaa.
Kibaya zaidi hiyo karatasi ilikua katikati ya candidate wawili. All they did is a simple assumptions that it belongs to her just because of her hand writing being a little big ,
Make no mistake,no any biometric system was used , neither the camera of the particular examination room to convict her that she is cheating.
Bad enough the content of that piece of paper doesn't even direct relate to the exam of the particular day.
And you know what, those people if they succeed to win on expelling a student they get paid.
I hope you understand the real problem here.
Ikiwezekana mleta uzi aseme hiyo karatasi ni ya nani?Karatasi yeyote hairuhusiwi kuingia nayo kwenye chumba cha mtihani.
Mambo ya kujitetea kupitia movie sijui hakikakutwa kwenye booklet mara biometric hizo ni siasa na vijana wa kizazi cha kuanzia 2000 mnapenda sana kuleta utetezi wa kwenye movie.
Hao malecture washapitia kote huko hizo mbinu zenu ninyi sio wa kwanza.
Na usidhani kwa kuleta jamiiforums ndio itabadilisha black kuwa white unajidanganya.
Wewe ni mwanafunzi wa hapo acha kujitetea sijui uko jirani Wala Nini.
FUATA SHERIA MSITUZALISHIE WASOMI VILAZA
Dear friend, how do you know kua unachokisema upo sahihi?Karatasi yeyote hairuhusiwi kuingia nayo kwenye chumba cha mtihani.
Mambo ya kujitetea kupitia movie sijui hakikakutwa kwenye booklet mara biometric hizo ni siasa na vijana wa kizazi cha kuanzia 2000 mnapenda sana kuleta utetezi wa kwenye movie.
Hao malecture washapitia kote huko hizo mbinu zenu ninyi sio wa kwanza.
Na usidhani kwa kuleta jamiiforums ndio itabadilisha black kuwa white unajidanganya.
Wewe ni mwanafunzi wa hapo acha kujitetea sijui uko jirani Wala Nini.
FUATA SHERIA MSITUZALISHIE WASOMI VILAZA
Wewe haupo hapo chuoniAsante kwa kuuliza.
Hiyo karatasi ilikua chini ya dawati pembeni kabisa na alipo ,umbali wa almost cm 70-100 kutoka alipo kaa.
Kibaya zaidi hiyo karatasi ilikua katikati ya candidate wawili. All they did is a simple assumptions that it belongs to her just because of her hand writing being a little big ,
Make no mistake,no any biometric system was used , neither the camera of the particular examination room to convict her that she is cheating.
Bad enough the content of that piece of paper doesn't even direct relate to the exam of the particular day.
And you know what, those people if they succeed to win on expelling a student they get paid.
I hope you understand the real problem here.
Kasema yeye hayupo hapo chuoni ila still anajua karatasi ilikuwa cm 70.Ikiwezekana mleta uzi aseme hiyo karatasi ni ya nani?
True justice wanaijua waliokuwa kwenye chumba cha mtihani we kama hukuwepo unapata taarifa ukiwa either imeongezwa maneno au imepunguzwaDear friend, how do you know kua unachokisema upo sahihi?
Because if you don't know kua unachokisema ni sahihi au sio sahihi then you should really be afraid of yourself.
You are on the wrong side for that buddy, I am not a student make no mistake.
And what's so important is , what if it's true justice is not being served??
Mimi ni msamalia mwema tu nimeleta hili swala hapa lakini halitaishia hapa.
Na kama upo TIA , just know that whataver you do in darkness always comes to light. will eventually,your unjust doing,be revealed on a broad daylight.
Subiri
You are very irrational.
I think you are stupid as much as your pseudo name.
Unatia kinyaa, na nazani ni wewe ndio hauna akili sababu umeshindwa kuelewa ujumbe wangu.
Mimi sio muhanga you stupid maggot, mbona ipo very clear kwenye andiko langu.
Ivi kwanza we huogopi?
Vilaza wote mnanishambulia lakini mwanaume nimesimama wima siteteleki, we huogopi??
Because that is what it takes, when you are doing something right, you should of course expect thousand fools to stand against you.
Sizani hata kama mnajua mnapinga Nini?
Wajinga kama wewe huwa nawapenda sana kubishana nao mbwa wewe. Akili za darasani huna na wala ethics za maisha tu huna ng'ombe wewe.Acha ujinga wewe , Mimi nimeuliza swali kama huwezi kujibu acha.
Na hizo assumptions is outcome of my high intellect, that is the reason why.
My best guess is my intellect threatens you.
My take: I know there are people who works at TIA in here and you are trying to dissolve this matter.
Not necessarily you of course, because you smell like coward dog who is obedient to his master.
Upo sahihi mkuu, lakini mazingira ya hii kesi yana sintofahamu nyingi.Ninachofaham ni kuwa kabla ya mtihani kuanza msimazi hutoa tahadhari kwa kila mmoja kuwa aangalie kama ana karatisi au kitu chochote kisichorusiwa either mfukoni, kwenye meza au jirani.
Sasa huoni huo ni uzembe wa hao wanafunzi?.