Kinachoendelea Tanzania kuhusu mfumuko wa bei ni hatari kwa ustawi wa maendeleo ya wananchi na usalama wa nchi

Kwamba nondo ilikuwa inauzw elfu 28 tukawa tunafichwa?

Kwamba bidhaa zilipanda sana bei tukawa tunafichwa?

Hivi mnafikiri kila mtu ni mjinga na haoni kinachoemdelea?
Hiyo 28k unaona ndio ilikua price halisi?

Umezungumzia nondo tu vipi kuhusu watu waliokuwa wakiporwa pesa zao ndani ya account na TRA wakituambia makusanyo yameongezeka?

Wale waliokwapuliwa pesa Bureau de Change je?

Hujazungumzia VFR ya 6% kwa wahitimu wa HESLB .

Pesa za mifuko ya jamii zilichukuliwa kwenda kwenye miradi isiyo na tija sababu ya sifa za mtawala.

Mwisho nikuambia inflation hua nyingi ikiwemo kutokuwepo urari wa demand & supply.

Purchasing power ya Tanzania iko chini ajabu mkaamini nchi iko uchumi wa kati huku watu hata mlo wengine ni shughuli.
 
Umemjibu vizuri sana huyo kenge anatetea ujinga wakati watanzania tunaumia. alisoma topic moja ya demand and supply basi anakuja kutusumbua nayo hiyohiyo.
 
SERIKALI chini CHIFU HAGAYA itaudhibiti huo MFUMUKO
 
Wewe ni mpumbavu kama mwendazake alikuwa anataka wakina bakhresa wafilisike hasingempa fursa ya kujenga kiwanda cha sukari bagamoyo ,muda mwingine ficha ujinga na upumbavu wako.
 
Tunaongelea mfumoko wa bei za bidhaa muhimu!

Kwa hiyo hayo ndio yalikuwa yanasababisha bei za vitu isipande?

Nondo ilikuwa inauzwa elfu 19 leo ni elfu 28, twambie ni kitu gani kimetokea?
 
Ngano tulinunua 1200 leo ni 1900 anakuja mjinga mmoja anasema eti ukame ndo umsababisha bei kupanda.
 
Wakati ΓΊchaguzi ulipoibiwa tuliufyata vipi sasa ujasiri tunaupata wapi
 
Ila Serikali hiyo hiyo ambayo haihusikia na vitu kupanda bei, huwa inajitapa kila mara kuwa ime keep mfumuko wa bei chini..Yaani vikipanda isilaumiwe, ila vikipanda ichukue credit?
 
Tunaongelea mfumoko wa bei za bidhaa muhimu!

Kwa hiyo hayo ndio yalikuwa yanasababisha bei za vitu isipande?

Nondo ilikuwa inauzwa elfu 19 leo ni elfu 28, twambie ni kitu gani kimetokea?
Serikali ni ile ile waulizeni TRA waliosema ipo akiba ya kulisha nchi miezi 6 bila kufanya kazi aliyokua akisema Jiwe.

Na mama yenu kasema mna dollar za kutosha kusurvive miezi 6 serikali ni ile ile ya CCM muwaulize maana wasomu hawakupewa nafasi kipindi kile walipokua wakishauri kina Prof Assad na wengineo waliona bomu mbele nyie mkashangilia kuondolewa kwao sasa vuneni matunda yenu.
 
Mfumuko wa bei wa kiasi hufanya uchumi ukue, ni kitu kizuri kwa uchumi.
 
Maana yake ni afadhali zama za mwendazake. Waliofurahia kuondoka kwake waendelee kusherehekea basi!
 
Hali ya mparaganyiko wa uchumi duniani na hasa nchi maskini iliyoletwa na majanga ya korona na mabadiliko ya tabia nchi ni mambo ambayo yako planned na mawakala wa shetani ili kuweza kuwatumikisha binadamu chini ya mamlaka ya ibilisi. Kuna tukio moja kubwa ambalo wamepanga kulitekeleza hivi karibuni linaitwa 'cyber-crime pandemic' ambalo litavuruga mifumo ya mawasiliano ya kimtandao ulimwenguni na kuathiri shughuli za serikali za mataifa mbalimbali, mabenki, mashirika makubwa nk. na hivyo kupelekea hali ya maasi na machafuko duniani, maana uchumi wa mataifa duniani utakuwa umeanguka kabisa. Lengo lao ni kutawala dunia nzima chini ya mamlaka moja ya mpinga kristo, kumwekea kila binadamu chapa ya utambulisho (digital identity) ili iwe rais kufuatilia, kuthibiti, na ku manipulate tabia na mienendo ya watu wote duniani kwa kufuata malengo yao........dunia inaelekea kwenye nyakati ngumu kabisa kuwahi kushuhudiwa, nyakati zinazoashiria mateso ya dhiki kuu ambapo dunia itakuwa chini ya utawala wa mpinga kristo ambapo wale watakaokataa kupokea alama ya mpinga kristo (666) watapitia mateso makali sana na yatakayojaribu imani yao kwa Mungu Mkuu. Tuombe sana tuweze kupita majaribu ya hiki kipindi tukiwa ni washindi........AMEN.​
 
Watu wengi hawafahamu kitu kimoja bingwa na kinara wa kufanya haya mambo ni serikali yenyewe maana kila mwaka mpya wa fedha zile stori tunazizisikia kwamba serikali itakusanya trilioni 24, 27, 36 mwaka fulani ukiiangalia hio trend unakuta hizo ni kodi na tozo mbali mbali kama unafanya biashara hili utalijua i.e mwaka huu umekadiriwa 300,000 mwakani 400,000 au 500,000 kwa mwaka najua kuna wengine watasema awamu iliopita ilikuaje? Kipindi kile wengi wanafahamu jinsi mtu alivyokua anaingilia sekta binafsi na kuiendesha kwa rimoti awamu hii watu wameshamsoma kiongozi huyu kwaio wanajiamulia tu wakioandishiwa kodi wanafidia..pia watu walidhulumiwa sana nadhani ndo reactionya kipindi kile kufidia magepu yaliliyoachwaga...πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mtwara kilo ya nyama 12,000 kwa mujibu wa taarifa ya habari ITV jana usiku!

Mmmmh sidhan aiseee
 
Kaz tunayo aisee mwaka huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…